Uchaguzi 2020 CHADEMA yaahidi kumtunza Dkt. Magufuli kama Rais Mstaafu

Kumtuma nje ya nchi jiwe itakuwa aibu kubwa kwa nchi atapewa kazi ndogo ndogo hapa hapa.
 
Majuha yakijifariji
Lissu mwenyewe anajua hashindi,ndio maana hata Mbowe amemuacha apambane na hali yake
We ni mjinga kweli Ni Kama useme Yondani amsaidie Messi. Lisu anajiweza mwenyewe ndio maana wengine wanashughulikia mengine. Kwenye kampeni Kuna mengi ya kufanya zaidi ya kusimama jukwaani. Mbowe anashughulikia uhuni mwingine unaofanywa na fisiemu.
 
"Mjipendekeze Chato wakati nimeshaondoka kwenye Urais"-Rais Magufuli


Awaambia viongozi wa serikali ya CCM Mpya wanaojipendekeza kwake kwa kushindana kupeleka Maendeleo ya Vitu kijijini kwake Chato. .
Naona machale yalimcheza na kujua Chato International Airport itampa wakati mgumu kuutetea mradi mkubwa kupelekwa kijijini Chato bila kuombea na kufuata taratibu husika
 
Aaaa wapi tunatia ndani [emoji91][emoji91]
 
Kwani nyongeza ya mishahara haimo kwenye sheria ? Acha kuweweseka kaka , na kama hujasikiliza sera za CDM basi utakuwa una matatizo ya KUONA na KUSIKIA maana ameahazitaja nyingi mno.
Kuanzia Elimu,Afya na hata Kilimo

Naomba ujibu swali nililokuuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…