CHADEMA yaahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko

CHADEMA yaahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko

ubinadamu ni kufanya maandamano ya kuwaunganisha wanaKaratu waTanzania wenye mapenzi mema kuunganisha nguvu kwa hali na mali kuwasaidia wahanga wa mafuriko eneo hilo :BASED:

mna mbwelambwela tu na coded aims zenu zisizo eleweka behinde the scene, mkadhani malango yenu hayajulikani japo ni dhaifu sana na yasio na madhara wala tija yoyote kwa Taifa, politically speaking......:NoGodNo:
Vipi hao wanaopita na mwenge kwa mbwembwe kwenye makazi ya watu waliokumbwa na mafuriko ili mradi tu waimbe nyimbo za kumsifu mama Samia! Ujuha huu mnauona sahihi kisa tu wewe ni chawa wa mama Samia!
 
Vipi hao wanaopita na mwenge kwa mbwembwe kwenye makazi ya watu waliokumbwa na mafuriko ili mradi tu waimbe nyimbo za kumsifu mama Samia! Ujuha huu mnauona sahihi kisa tu wewe ni chawa wa mama Samia!
mwenge utakwenda popote na kutatua kila changamoto iliyokusudiwa na kutoa ahueni kwa wahanga wowote wale :DisGonBGud:
 
Mwenge huja na miradi ya maendeleo, maandamano huja na porojo; wewe huoni tofauti hapo?
Miradi ya maendeleo! Watu wako bize wanapambana na mafuriko wewe unaleta porojo za maendeleo ambayo yameshindikana kwa zaidi ya miaka 50, wakati tunapata uhuru China na sisi tulikuwa masikini kundi moja, sisi tumebaki kwenye kula kwa urefu wa kamba yako!
 
Back
Top Bottom