CHADEMA yaahirisha Maandamano ya Karatu kwa sababu ya Mafuriko

Vipi hao wanaopita na mwenge kwa mbwembwe kwenye makazi ya watu waliokumbwa na mafuriko ili mradi tu waimbe nyimbo za kumsifu mama Samia! Ujuha huu mnauona sahihi kisa tu wewe ni chawa wa mama Samia!
 
Vipi hao wanaopita na mwenge kwa mbwembwe kwenye makazi ya watu waliokumbwa na mafuriko ili mradi tu waimbe nyimbo za kumsifu mama Samia! Ujuha huu mnauona sahihi kisa tu wewe ni chawa wa mama Samia!
mwenge utakwenda popote na kutatua kila changamoto iliyokusudiwa na kutoa ahueni kwa wahanga wowote wale
 
Mwenge huja na miradi ya maendeleo, maandamano huja na porojo; wewe huoni tofauti hapo?
Miradi ya maendeleo! Watu wako bize wanapambana na mafuriko wewe unaleta porojo za maendeleo ambayo yameshindikana kwa zaidi ya miaka 50, wakati tunapata uhuru China na sisi tulikuwa masikini kundi moja, sisi tumebaki kwenye kula kwa urefu wa kamba yako!
 
Chadema wana laana ndio wanapokanyaga kunazuka balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…