Joss
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 765
- 191
maisha bora kwa kila mtanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maisha bora kwa kila mtanzania
maisha bora kwa kila mtanzania
kumekucha ss si watu wa maneno ni vitendo
View attachment 15755
JK akipokea bendera ya CHADEMA, kutoka kwa mwenyekiti wa Wanawake wa chama hicho jimbo la Kwimba, Monika Jimotoli mara baada ya kutangaza kukihama chama hicho kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jimboni humo. Monika amehama chama hicho na wenzake 18.
sababu ya kujifonyoa kwenye Chama ati kinachojita Mbadala
Mwenyekiti wa wanawake Chadema Wilayani Kwimba Mama Monica Jimotolo, amerudisha kadi ya chama hicho na kuingia rasmi CCM.
Mama Jimotolo alieleza sababu kuu iliyomfanya kuingia CCM ni kuchoshwa kwake na siasa za chuki na uchochezi ambazo zinalenga kuvunja amani na mshikamano wa nchi yetu.
Alieleza hadhara hiyo kuwa baada ya kufanya uamuzi huo, wengine kumi na saba wameongozana naye na kusema chama hicho kimekufa wilayani hapo. Wanachama hao walikaribishwa na Mwenyekiti wa CCM taifa na kupewa kadi za Chama Cha Mapinduzi.
naam kimekufa na JK amekabidhiwa rasmi Tambara( eeh bendera) ya chama hicho
source: MICHUZI
Mhhh huyu jamaa
Hata kama ni mke wa rais hizi hela zina toka kwenye bajeti gani watz wenzangu?ni mfuko upi huo unato 28m kwa vijisafari visivyo eleweka?wakati huo huo mama salma anatumia milioni 28 kukodi hili dege la kifahari kwa matumizi ya masaa matano tu:
![]()
Hamna lolote; huyo kapewa hela na anajua anachofanya. Atawapa bendera na kadi bandia, halafu anachukua pesa yenu kisha kura yake inakwenda CHADEMA
[B said:TANZANIA KWANZA[/B];1179564]mbona usianzie wakati wa utawala wa mzee mwinyi ambapo sukari ilikuwa chini ya sh.200 kwa kilo!! Chadema kwa udini tu! Yaani unaanzia wakati wa mkapa ili kuonyesha kuwa jk hafai!
Sasa kama slaa ataupata urais basi ujue bei ya sukari itazidi sh.3000 kwa kilo!!!
Hivi huyu hajavunja sheria za JF kwa kutaja mtu ambaye hajachangia hapa?
hivi kwa nini usipigwe ban kwa hiyo koment yako ya kichochezi? kwa sababu hatujakoment ya mwinyi ndo tuseme tumekuwa wadini??? mbona huulizii enzi za nyerere we kalumekenge?mbona usianzie wakati wa utawala wa mzee mwinyi ambapo sukari ilikuwa chini ya sh.200 kwa kilo!! Chadema kwa udini tu! Yaani unaanzia wakati wa mkapa ili kuonyesha kuwa jk hafai!
Sasa kama slaa ataupata urais basi ujue bei ya sukari itazidi sh.3000 kwa kilo!!!
mmeishiwa mwenyekiti wa wilaya wa akina mama kachoka fitna na majungu ya chadema
Njaa ndo zinawasumbua watu kama hao. Unajua alichoahidiwa? Uliza kwanza mzee sio unatoa prop humu