Chadema yaanza kufuta nyayo za Bashiru Ally jimbo la Ndanda

Chadema yaanza kufuta nyayo za Bashiru Ally jimbo la Ndanda

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Subpost 4 - Ana andika Suleman Mathew Mkti Kanda ya Kusini,juzi Bashiru alikuwa  ( 640 X 640 ).jpg

Subpost 1 - Ana andika Suleman Mathew Mkti Kanda ya Kusini,juzi Bashiru alikuwa  ( 640 X 640 ).jpg

Subpost 3 - Ana andika Suleman Mathew Mkti Kanda ya Kusini,juzi Bashiru alikuwa  ( 640 X 640 ).jpg

Subpost 2 - Ana andika Suleman Mathew Mkti Kanda ya Kusini,juzi Bashiru alikuwa  ( 640 X 640 ).jpg


Baada ya Bashiru Ally kufika Ndanda amejionea hali ilivyo ngumu , ambapo alivuna wanachama watatu tu wa Chadema na kuamua kukimbia mwenyewe , huku akiondoka na mapendekezo ya kumpeleka Cecil Mwambe Jimbo la Masasi baada ya kuona ukubwa wa Chuki za wananchi kwa Mwambe , imejulikana kwamba Mwambe hawezi kushinda Ndanda hata kama vikosi vyote vya polisi vitahamishiwa huko ili kutisha wananchi.

Pichani ni viongozi wa Kanda ya Kusini wakizindua moja ya tawi la Chadema jimbo la Ndanda .

Angalizo : Huo wa Chadema haukuwa mkutano wa hadhara kwa vile siasa za majukwaani zimezuiwa nchini Tanzania , ulikuwa uzinduzi tu
 
Maccm badala ya kuandaa Sera nzuri za kuwavutia watanzania wataandaa wizi na uporaji wa kura
 
Naomba sasa baada ya kufanya haya yote aliyo yafanya Bashiru, waruhusu sasa na wapinzani wafanye siasa. Mbona itakuwa haina madhara maana wapinzani hawajabakiwa na mtu yeyote!
 
Hizi picha kwenye huu uzi zimepigwa chumbani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafanya kwa kuibia ibia tu. Polisi waliposikia tu kuna huo uzinduzi walikuja mbio kutaka kusambaratisha. Bahati nzuri wakakuta shughuli imeisha na wahusika wameshaondoka kitambo. Kwa taarifa yako hadi sasa wale viongozi wa uzinduzi huo wanatafutwa.
 
Back
Top Bottom