Pre GE2025 CHADEMA yaanza kuongoza Nchi kabla ya kuongoza, yaelekezwa wapewe taarifa haraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Your browser is not able to display this video.

Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimetambuliwa rasmi kama chama kiongozi na kuagizwa kipewe maelezo kuhusu kila hatua ya maendeleo inayofanyika Nchini Tanzania.

Tuliwahi kuandika humu na kwingineko kwamba Chadema ndio inayotoa Dira na mwongozo wa nchi, nadhani sasa mnaanza kuthibitisha.
 
Wabwabwajaji tu chadema wako
 
Daima kenge haamini kama ameumia hadi aone damu zinamtoka masikioni.
 
Hutaki kajinyonge wewe ajuza
Wewe saa huzi nipo Ghaza, "Hot News":

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…