kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Bangi zina umri na jinsia!View attachment 2877931
Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimetambuliwa rasmi kama chama kiongozi na kuagizwa kipewe maelezo kuhusu kila hatua ya maendeleo inayofanyika Nchini Tanzania.
Tuliwahi kuandika humu na kwingineko kwamba Chadema ndio inayotoa Dira na mwongozo wa nchi, nadhani sasa mnaanza kuthibitisha.