Pre GE2025 CHADEMA yaanza kuongoza Nchi kabla ya kuongoza, yaelekezwa wapewe taarifa haraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bangi zina umri na jinsia!
 
Ndugu katika Imaani Pakistan na Iran wanauwana huko.

Vipi Waislamu Mayahudi na Makafir siyo adui wa Uislamu tena?

Hii Sera ya udini ndio Sera yenu CCM, muda umefika sasa Watanzania wamegunduwa hakuna Duka la kuwahudumia CCM peke yao wala Waislamu peke yao, tunaumia wote, kibano cha maisha kinachowapata Chadema na ccm watapata hichocho alikadharika Waislamu na Wakristo wote hakuna mwenye Duka lake Maalum la punguzo ya bei ya sukari.

Leo nimenunuwa sukari jijini Dar kilo shilling 4800.

Wewe endelea kumwagiga mauno Teu, watu wote wenye akili tutaingia barabarani kuandamana.
 
Mtaniɓbbbbbbbbɓ
Mtani

Ina maana CCM yangu washaanza kukubali ukweli?

Habari njema
 
Naamini Makonda amesikia.

Andaa haraka report ya utekelezaji wa ilani ya CCM, uipeleke CHADEMA ili ikafanyiwe assessment, maana huko ndiko kuliko na watu wenye uwezo mkubwa wa akili.

"CCM inaungwa mkono zaidi na watu wajinga (wasio na elimu). CHADEMA inaungwa mkono na watu wasomi na makundi ya vijana" - TWAWEZA.
 
Huyu pimbi naye damu za Amina Chifupa na Ipyana zinamlilia
Aiseeeeee !!
 
Aache utani ,bado uajuza wako hujanionyesha bed hivyo apuuzwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…