CHADEMA yaanzisha Harambee ya kuchangia familia za walioshitakiwa kwa ugaidi

CHADEMA yaanzisha Harambee ya kuchangia familia za walioshitakiwa kwa ugaidi

Jambo la kheri sana,pakikucha tu natuma.
Tunaomba pia familia ya Mosses iwe included.
 
Tutoe shukrani kwa mawakili wa utetezi na washtakiwa kwa kutoa mafunzo kwa wananchi. Watu wanahoji kumbe unaweza kuongozwa na wakili ukaeleza ukweli bila kutetemeka na kutokurukaruka maneno.

Kwa kweli nitachangia hili darasa limefungua watu masikio na wameelewa.

Sasa Kuna Vimeo Sabaya ameviacha huko mitaani vijichunge.

Tuombe mawakili waimarishe chama Chao kisambae kila sehemu ili kuwasaidia ambao wanaiogopa mahakama wakati wanajijua wapo kwenye haki. Ikiwezekana waombe mahakama Kama wanaweza kuwachukulia mahabusu na wafungwa maelrzo, wakawasaidia.

Kuna hivi visheria vinatengenezwa na halmashauri kwa vificho, vinaweza vikawa ni vya kweli au vya uwongo. Wenyeviti na mabalozi hawajui. Ila wanaweka watu wao kuwapigia simu kwa ajili ya faini. Wakati mwenyekiti wa Kijiji ukimuuliza anakwambia hajui, Sasa hao watu wa halmashauri wamefikafika je bila mwenyekiti?

Akina sabaya wapo wengi mitaani wanakwamisha watu wanapofanya maendeleo sehemu husika. Hivi Vimeo wanafanyakazi na watu wa halmashauri. Wakati ni kazi ya mwenyekiti wa Kijiji.
 
Mimi sichangii chochote, ila nawasisitiza CHADEMA hebu wajiamini hizi issue za kujishusha na kuanza kuchangiana zimepitwa na wakati sana. Inaonesha jinsi msivyoweza kujiendesha. Mimi nashauri hivi vitu mwaachane navyo mfocus na agenda kubwa za kuwatoa hao watu. Chadema sio VICOBA.
EeenHeee!
Kweli wewe ni 'Meneja'!

Nasikia umemchangia Sabaya (General Nani vile?, General More?)
 
What i know ni kwamba I WILL NEVER EVER USE MY MONEY AGAIN kuwachangia watu wanaojiia CHADEMA, hata wafungue kanisa
 
Mimi sichangii chochote, ila nawasisitiza CHADEMA hebu wajiamini hizi issue za kujishusha na kuanza kuchangiana zimepitwa na wakati sana. Inaonesha jinsi msivyoweza kujiendesha. Mimi nashauri hivi vitu mwaachane navyo mfocus na agenda kubwa za kuwatoa hao watu. Chadema sio VICOBA.
Onesha kadi yako ya kualikwa vinginevyo kaa kimya.
 
Onesha kadi yako ya kualikwa vinginevyo kaa kimya.
Hapo nilichokosea nikipi inamaana chama hakiwezi kuchekecha akili jinsi ya kupata fedha za kujiendesha. Fanyeni vitu vya maana, bora siku moja mseme kwamba tuchangishe fedha za kusaidia watoto yatima nchini na watu wasioweza kulipa fedha za matibabu, au mseme tuwalipie watanzania bima. Hayo ndio mambo ya msingi.
 
Namna ya ku react na sheria sio kutumia nguvu boss
Hakuna bwana, JW nao wachachamae wawatandike makofi hawa polisiccm! Nimefurahishwa na mbinu aliyotumia Col. Doumbouya kule Guinea! Hawa wanasiasa pumbavu kabisa!
 
Taarifa ya sasa inaeleza kwamba Chadema kupitia BAWACHA inawaomba wananchi wote kuchangia Familia za Makomandoo Adamoo na wenzake , walioshitakiwa kwa tuhuma za ugaidi , ambao inadawa ulifadhiliwa na mshitakiwa mwenzao Freeman Mbowe kwa kitita cha Tsh Laki 6.

View attachment 1966057

Tayari mchakato wa kampeni hiyo umekamilika kwa kufungua akaunti Maalum katika benki ya NMB , yenye namba 22601605514 kwa jina la BAWACHA TAIFA , ambapo yeyote atakayeguswa anaruhusiwa kuweka pesa ili ziweze kusaidia familia za wahanga .

KUTOA NI MOYO
Ni jambo zuri sana mbarikiwe nilikuwa nawaza kama wao asee naumia sana sana....kwa walivyowafanyia sio utu kabisa....wametumikia nchi vitani....wamepata shida .....wanabambikia kesi kubwa hivyo....na kuwatesa na famili zao zinateseka...wekeni number za simu....turushe humo
 
Erythro, fanya hivi.
1. Kuna muda maalum

2. Kuna mrejesho baada ya muda maalum?

Hii yote inaweza kuwa ni kichocheo kwa wengine zaidi kujitokeza na kuendeleza mchango.

Hata kama haya hayawezekani kwa sababu maalum, BAVICHA watumie nafasi hii ya kuwashirikisha wananchi kwa lengo/malengo mahsusi.
hoja yako imechukuliwa
 
Back
Top Bottom