Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa taarifa hii mkuu.Taarifa ya sasa inaeleza kwamba Chadema kupitia BAWACHA inawaomba wananchi wote kuchangia Familia za Makomandoo Adamoo na wenzake , walioshitakiwa kwa tuhuma za ugaidi , ambao inadawa ulifadhiliwa na mshitakiwa mwenzao Freeman Mbowe kwa kitita cha Tsh Laki 6.
Tayari mchakato wa kampeni hiyo umekamilika kwa kufungua akaunti Maalum katika benki ya NMB , yenye namba 22601605514 kwa jina la BAWACHA TAIFA , ambapo yeyote atakayeguswa anaruhusiwa kuweka pesa ili ziweze kusaidia familia za wahanga .
KUTOA NI MOYO
Vipi imekuuma sana? Meza boga mazee...Chama cha bakuli Kwani zile million 300 na ushee zishaliwa
Acha wajinga tuendelee kuchangia .Wewe mwerevu endelea kuchangia 7000/- hapo LumumbaWajinga ndio waliwao; wahenga walisema.
Kafie mbele tangu lini mwana CCM akachangia?what i know ni kwamba I WILL NEVER EVER USE MY MONEY AGAIN kuwachangia watu wanaojiia CHADEMA, hata wafungue kanisa
Basi sawaNitachangia milioni 10
Wakati kula yako yenyewe ya mashaka. Mpaka ulipwe buku 7 ushindie maji ya kandoro na maandazi ya bakhresa.Nitachangia milioni 10
Huo ni msemo wa wahenga tu. Usianze kujishtukia sasa.Acha wajinga tuendelee kuchangia .Wewe mwerevu endelea kuchangia 7000/- hapo Lumumba
Yaani Chadema ya Mwamba kila kitu kwao ni fursa ya kupiga mahela. Haya kusanyeni hizo fedha Mwamba anazihitaji harakaTaarifa ya sasa inaeleza kwamba Chadema kupitia BAWACHA inawaomba wananchi wote kuchangia Familia za Makomandoo Adamoo na wenzake , walioshitakiwa kwa tuhuma za ugaidi , ambao inadawa ulifadhiliwa na mshitakiwa mwenzao Freeman Mbowe kwa kitita cha Tsh Laki 6.
Tayari mchakato wa kampeni hiyo umekamilika kwa kufungua akaunti Maalum katika benki ya NMB , yenye namba 22601605514 kwa jina la BAWACHA TAIFA , ambapo yeyote atakayeguswa anaruhusiwa kuweka pesa ili ziweze kusaidia familia za wahanga .
KUTOA NI MOYO
Unataka kusema?Wajeda nao waamke bwana! Mnatesewaje watu wenu hivyo nyie mko kimya tu?
Ikikuuma sana nenda chato utapata msaadaYaani Chadema ya Mwamba kila kitu kwao ni fursa ya kupiga mahela. Haya kusanyeni hizo fedha Mwamba anazihitaji haraka
Kamanda waambie wafanye mpango wa namba ya simu (M-pesa ) Itapendeza sisi wengine tuko mbali na tunatamani kuchangiaBasi sawa
Ndiyo na tunachanga tena na kama unawashwa jicho njoo nikukune na hogo la jang'ombeChama cha bakuli Kwani zile million 300 na ushee zishaliwa
Wajue hata wasudan walikuwa ni waoga sanaIt's to much pain mkuu. Most of Tanzanians suffer in their life just because of misconductions of Tanzania Police
Hiyo ni kwenye vitabu au maandishi lkn moyoni watu wana upendo na wafanyakazi wenzao.Una maana gani mkuu. After all hakuna 'Mjeda' hata mmoja hapo. Ukisha kanyaga mkeka, ( Court Marshall) na kuamriwa kufukuzwa wewe kamwe hutakiwi uitwe askari.