Pre GE2025 CHADEMA yadai kuzuiwa kufanya Mkutano katika kumbi za Hoteli ya Sea Cliff, uliopangwa kufanyika leo, Februari 27, 2025 Dar

Pre GE2025 CHADEMA yadai kuzuiwa kufanya Mkutano katika kumbi za Hoteli ya Sea Cliff, uliopangwa kufanyika leo, Februari 27, 2025 Dar

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naunga mkono mia kwa mia hiyo Hotel kukataa wasifanye mkutano

Haiwezekani Lisu anasema Chama hakina fedha watu wachangie halafu wanaenda kufanya mikutano hoteli za kitalii za mamilioni

Wafanyie ofisini kwao makao makuu ya Chadema

Mahoteli mengine igeni huo mfano mtasaidia pesa za Chadema na wafadhili kununusurika

Hii mifisadi team Lisu wanasafisha pesa zote akaunti za Chadema

Lisu nakuuliza tena Chadema ina hela su haina hela? Asiye na hela aweza kwenda kufanya mkutano hotel kubwa ya kitalii ya sea Cliff

Wanachadema amkeni
Mara Chadema haina hela,mara ina hela inachezea ,bado hamjasema,ndio kwanza kazi inaanza leo,No reform no election
 
Tuliambiwa dr. Mpango aliandika barua kwa hangaya, kumuomba apum!ike.
Ipo wapi BARUA YA DR. MPANGO kwa Hangaya?
Kama aliomba apumzike mbona yungali ofisini? Tufanye kuchoka kwake kunahusiana na uchaguzi wa nchi?
😆😆😆😆
 
Hao wapuuzi wa Hotel nao ni kiwaharibia soko lawatalii tu,huu ubaguzi uende kimataifa
Sio sahihi kufanya hivyo
Kama uko nje ya Tanzania unaweza uelewe ila mazingira ya biashara ni magumu sana kulingana na sheria zetu.
Nadhani ni muhimu tupambane pamoja kuhitimisha hali hii. Sio busara kupigana wenyewe ili hali adui wetu ni CCM na anajulikana.
 
Wazee wa fitina wamekutana na fitina,fitina mliyomfanyia kaka yenu bado itawatafuna.Mnafkiri wafitini na wazushi hawana fungu lao!!?.Watendeeni watu mema nanyi mtatendewa mema.
 
Mwanachadema yeyote atakayechangia Chadema kuwa hakina hela atakuwa akili hana hata moja

Unachangia watu wakale bata hotel za kitalii kwa kisingizio cha kikao
Jioni hii nawaingizia mil 10 za madafu
 
Mara Chadema haina hela,mara ina hela inachezea ,bado hamjasema,ndio kwanza kazi inaanza leo,No reform no election
Aliyesema Chadema haina hela ni mwenyekiti wenu wa Taifa Tundu Lisu sio CCM

Sasa hizo pesa za kwenda kufanya kikao hotel ya mamilioni pesa mumetoa wapi?
Tunaomba jibu je Chadema ina hela au haina? Jibuni
 
Nyaraka kuhusu ombi lako tayari zishaandaliwa
Kwanini kugombana na wadau muhimu kama hawa. Nao ni wahanga wa utawala mbovu wa CCM kama ilivyo chadema na mtu yeyote sidhani kama wanapenda hali hii
 
Sio sahihi kufanya hivyo
Kama uko nje ya Tanzania unaweza uelewe ila mazingira ya biashara ni magumu sana kulingana na sheria zetu.
Nadhani ni muhimu tupambane pamoja kuhitimisha hali hii. Sio busara kupigana wenyewe ili hali adui wetu ni CCM na anajulikana.
Unajua anayeungana adui yako sio rafiki yako Bali adui?
 
Back
Top Bottom