Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mifumo ya nchi hii ni ya kijinga sn, dawa na CHADEMA kuwa na kumbi zao kila kanda + hoteli, mbona inawezekana kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanachadema yeyote atakayechangia Chadema kuwa hakina hela atakuwa akili hana hata mojaUnateseka ukiwa upande upi?
Mara Chadema haina hela,mara ina hela inachezea ,bado hamjasema,ndio kwanza kazi inaanza leo,No reform no electionNaunga mkono mia kwa mia hiyo Hotel kukataa wasifanye mkutano
Haiwezekani Lisu anasema Chama hakina fedha watu wachangie halafu wanaenda kufanya mikutano hoteli za kitalii za mamilioni
Wafanyie ofisini kwao makao makuu ya Chadema
Mahoteli mengine igeni huo mfano mtasaidia pesa za Chadema na wafadhili kununusurika
Hii mifisadi team Lisu wanasafisha pesa zote akaunti za Chadema
Lisu nakuuliza tena Chadema ina hela su haina hela? Asiye na hela aweza kwenda kufanya mkutano hotel kubwa ya kitalii ya sea Cliff
Wanachadema amkeni
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Umemuona Rais wa 2030 hapo?Vitumbua vya Tanga na Chai bado vipo?
vitumbua vipo?Umemuona Rais wa 2030 hapo?
😆😆😆😆Tuliambiwa dr. Mpango aliandika barua kwa hangaya, kumuomba apum!ike.
Ipo wapi BARUA YA DR. MPANGO kwa Hangaya?
Kama aliomba apumzike mbona yungali ofisini? Tufanye kuchoka kwake kunahusiana na uchaguzi wa nchi?
Sio sahihi kufanya hivyoHao wapuuzi wa Hotel nao ni kiwaharibia soko lawatalii tu,huu ubaguzi uende kimataifa
Na nimelikemea kwa jina la Yesu...Hili jambo linatakiwa likemewe.
Tumeshamaliza saizi tuko kazini 👇👇vitumbua vipo?
Safi,sasahivi yeyote anayekaa mbele ya njia ya Demokrasia huyo ni adui sawasawa na CCM tuNyaraka kuhusu ombi lako tayari zishaandaliwa
Jioni hii nawaingizia mil 10 za madafuMwanachadema yeyote atakayechangia Chadema kuwa hakina hela atakuwa akili hana hata moja
Unachangia watu wakale bata hotel za kitalii kwa kisingizio cha kikao
Aliyesema Chadema haina hela ni mwenyekiti wenu wa Taifa Tundu Lisu sio CCMMara Chadema haina hela,mara ina hela inachezea ,bado hamjasema,ndio kwanza kazi inaanza leo,No reform no election
Kwanini kugombana na wadau muhimu kama hawa. Nao ni wahanga wa utawala mbovu wa CCM kama ilivyo chadema na mtu yeyote sidhani kama wanapenda hali hiiNyaraka kuhusu ombi lako tayari zishaandaliwa
Unajua anayeungana adui yako sio rafiki yako Bali adui?Sio sahihi kufanya hivyo
Kama uko nje ya Tanzania unaweza uelewe ila mazingira ya biashara ni magumu sana kulingana na sheria zetu.
Nadhani ni muhimu tupambane pamoja kuhitimisha hali hii. Sio busara kupigana wenyewe ili hali adui wetu ni CCM na anajulikana.