Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hesabu kali sana hivi chadema wasipoangalia this time watakuwa cufJumla ya wanachama 110 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tabora wamejivua uanachama wa chama hicho.
Miongoni mwa wanachama waliojivua uanachama ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema mkoani humo, James Kabepele.
Wanachama hao wamesema miongoni mwa sababu zilizopelekea kujivua ni pamoja ni kudharauliwa mawazo yao ndani ya chama, hawako tayari kutokushiriki uchaguzi kwani hiyo ni haki yao ya msingi.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, James Kabepele amesema baadaye watasema rasmi kuwa watajiunga na chama gani kwa sababu siasa ni maisha ni lazima waifanye.
Mapema jana, viongozi Mei 11, 2025 viongozi 58 wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro, akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho mkoa, Gervas Mgonja walitangaza kujivua uanachama wa chama kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa chama hicho.
Viongozi wengine waliojivua ni Katibu wa Bawacha Kanda ya Kaskazini, Rachael Sadick, Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Kilimanjaro, Grace Kiwelu, Mjumbe wa kamati ya Tehama Kanda ya Kaskazini, Answary Kimaro na Mwenyekiti wa Chadema mstaafu Mkoa wa Kilimanjaro, Michael Kilawila.
Jana pia kundi la makada 80 wa chama hicho Mkoa wa kichama Temeke jijini Dar es Salaam walijivua uanachama.
Hii inaitwa EXODUSJumla ya wanachama 110 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tabora wamejivua uanachama wa chama hicho.
Miongoni mwa wanachama waliojivua uanachama ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema mkoani humo, James Kabepele.
Wanachama hao wamesema miongoni mwa sababu zilizopelekea kujivua ni pamoja ni kudharauliwa mawazo yao ndani ya chama, hawako tayari kutokushiriki uchaguzi kwani hiyo ni haki yao ya msingi.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, James Kabepele amesema baadaye watasema rasmi kuwa watajiunga na chama gani kwa sababu siasa ni maisha ni lazima waifanye.
Mapema jana, viongozi Mei 11, 2025 viongozi 58 wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro, akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho mkoa, Gervas Mgonja walitangaza kujivua uanachama wa chama kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa chama hicho.
Viongozi wengine waliojivua ni Katibu wa Bawacha Kanda ya Kaskazini, Rachael Sadick, Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Kilimanjaro, Grace Kiwelu, Mjumbe wa kamati ya Tehama Kanda ya Kaskazini, Answary Kimaro na Mwenyekiti wa Chadema mstaafu Mkoa wa Kilimanjaro, Michael Kilawila.
Jana pia kundi la makada 80 wa chama hicho Mkoa wa kichama Temeke jijini Dar es Salaam walijivua uanachama.
Hii dawa ya fumigation iongezwe, inaondoa mbarara na viroboto wote waliojificha chini ya blanket Chadema.mwisho mtabaki wawili tu kwenye chama halafu mje mseme mmeibiwa kura akili zitawakaa sawa tu mwaka huu
Wapige na dawa ya kuua mende wakubwa.Hii dawa ya fumigation iongezwe, inaondoa mbarara na viroboto wote waliojificha chini ya blanket Chadema.
Safi mimi mwenyewe nimerudi chadema baada ya tapeli la kichaga kufurushwa .Hii dawa ya fumigation iongezwe, inaondoa mbarara na viroboto wote waliojificha chini ya blanket Chadema.
hawa ni CCM wanafanya maigizoHii dawa ya fumigation iongezwe, inaondoa mbarara na viroboto wote waliojificha chini ya blanket Chadema.
Nasikia boda za mama zikipata ajali wananchi wanaacha mpka dereva akate roho huku wakimtania mitano tena🤔Eti oooh. CCM inanunua.
Ivi CCM wanaweza toa wapi hela ya kununua watu wengi hivi nyie ???
Hata wakilipwa laki Kila mmoja Hela ambayo ni ya Chini mno kumnunua mtu. Ila bado kwa budget za CCM Hawawezi fikia kuweza kuwanunua watu na idadi yote hii ya Viongozi wanaohama chadema.
Unajitekenya na kucheka. Acha hao madalali wa siasa waondoke baada ya kichaka kutiwa kiberiti.Hesabu kali sana hivi chadema wasipoangalia this time watakuwa cuf
Sodhani kama upo timamuEti oooh. CCM inanunua.
Ivi CCM wanaweza toa wapi hela ya kununua watu wengi hivi nyie ???
Hata wakilipwa laki Kila mmoja Hela ambayo ni ya Chini mno kumnunua mtu. Ila bado kwa budget za CCM Hawawezi fikia kuweza kuwanunua watu na idadi yote hii ya Viongozi wanaohama chadema.
Sodhani kama upo timamu