Kagemro
Platinum Member
- Jan 11, 2010
- 1,576
- 795
Mmmm just a joke! Wishing you well!
Mmmm just a joke! Wishing you well!
Chama kimevamiwa na watukanaji.Jumla ya wanachama 110 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tabora wamejivua uanachama wa chama hicho.
Miongoni mwa wanachama waliojivua uanachama ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema mkoani humo, James Kabepele.
Wanachama hao wamesema miongoni mwa sababu zilizopelekea kujivua ni pamoja ni kudharauliwa mawazo yao ndani ya chama, hawako tayari kutokushiriki uchaguzi kwani hiyo ni haki yao ya msingi.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, James Kabepele amesema baadaye watasema rasmi kuwa watajiunga na chama gani kwa sababu siasa ni maisha ni lazima waifanye.
Mapema jana, viongozi Mei 11, 2025 viongozi 58 wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro, akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho mkoa, Gervas Mgonja walitangaza kujivua uanachama wa chama kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa chama hicho.
Viongozi wengine waliojivua ni Katibu wa Bawacha Kanda ya Kaskazini, Rachael Sadick, Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Kilimanjaro, Grace Kiwelu, Mjumbe wa kamati ya Tehama Kanda ya Kaskazini, Answary Kimaro na Mwenyekiti wa Chadema mstaafu Mkoa wa Kilimanjaro, Michael Kilawila.
Jana pia kundi la makada 80 wa chama hicho Mkoa wa kichama Temeke jijini Dar es Salaam walijivua uanachama.
Chanzo: Mwananchi
Tabora tangia iumbwe haijawai kua na WAPINZANI IMARA.Jumla ya wanachama 110 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tabora wamejivua uanachama wa chama hicho.
Miongoni mwa wanachama waliojivua uanachama ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema mkoani humo, James Kabepele.
Wanachama hao wamesema miongoni mwa sababu zilizopelekea kujivua ni pamoja ni kudharauliwa mawazo yao ndani ya chama, hawako tayari kutokushiriki uchaguzi kwani hiyo ni haki yao ya msingi.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, James Kabepele amesema baadaye watasema rasmi kuwa watajiunga na chama gani kwa sababu siasa ni maisha ni lazima waifanye.
Mapema jana, viongozi Mei 11, 2025 viongozi 58 wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro, akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho mkoa, Gervas Mgonja walitangaza kujivua uanachama wa chama kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa chama hicho.
Viongozi wengine waliojivua ni Katibu wa Bawacha Kanda ya Kaskazini, Rachael Sadick, Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Kilimanjaro, Grace Kiwelu, Mjumbe wa kamati ya Tehama Kanda ya Kaskazini, Answary Kimaro na Mwenyekiti wa Chadema mstaafu Mkoa wa Kilimanjaro, Michael Kilawila.
Jana pia kundi la makada 80 wa chama hicho Mkoa wa kichama Temeke jijini Dar es Salaam walijivua uanachama.
Chanzo: Mwananchi
Mabadiliko hayatapatikana kwa kukimbia uchaguziNi gemu ya kitoto, haiwezi kuzuia kiu ya mabadiliko ya wananchi.
wanachadema Tabora wamaefanya uamuzi wa kizalendo na kishujaa sana kukataa kubebwa ufala na vibaka na matapeli wa kisiasa ndani ya chama chao, chini ya uongozi mpya uliopoteza uelekeo.Jumla ya wanachama 110 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tabora wamejivua uanachama wa chama hicho.
Miongoni mwa wanachama waliojivua uanachama ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema mkoani humo, James Kabepele.
Wanachama hao wamesema miongoni mwa sababu zilizopelekea kujivua ni pamoja ni kudharauliwa mawazo yao ndani ya chama, hawako tayari kutokushiriki uchaguzi kwani hiyo ni haki yao ya msingi.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, James Kabepele amesema baadaye watasema rasmi kuwa watajiunga na chama gani kwa sababu siasa ni maisha ni lazima waifanye.
Mapema jana, viongozi Mei 11, 2025 viongozi 58 wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro, akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho mkoa, Gervas Mgonja walitangaza kujivua uanachama wa chama kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa chama hicho.
Viongozi wengine waliojivua ni Katibu wa Bawacha Kanda ya Kaskazini, Rachael Sadick, Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Kilimanjaro, Grace Kiwelu, Mjumbe wa kamati ya Tehama Kanda ya Kaskazini, Answary Kimaro na Mwenyekiti wa Chadema mstaafu Mkoa wa Kilimanjaro, Michael Kilawila.
Jana pia kundi la makada 80 wa chama hicho Mkoa wa kichama Temeke jijini Dar es Salaam walijivua uanachama.
Chanzo: Mwananchi

Na kwann mlikuwa mnawafuga hao Mbarara na viroboto?Hii dawa ya fumigation iongezwe, inaondoa mbarara na viroboto wote waliojificha chini ya blanket Chadema.
Jidanganye na hiyo project ya Julius MwitaHesabu kali sana hivi chadema wasipoangalia this time watakuwa cuf
Wanaojivua ni viongozi tu kwasababu wana maslahi yako, mwanachama wa kawaida anahama ili iweje?Viongozi wengine waliojivua ni Katibu wa Bawacha Kanda ya Kaskazini, Rachael Sadick, Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Kilimanjaro, Grace Kiwelu, Mjumbe wa kamati ya Tehama Kanda ya Kaskazini, Answary Kimaro na Mwenyekiti wa Chadema mstaafu Mkoa wa Kilimanjaro, Michael Kilawila.
Haipukutiki bali inaimarika. Makapi mengi yanajiondoa!Jumla ya wanachama 110 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tabora wamejivua uanachama wa chama hicho.
Miongoni mwa wanachama waliojivua uanachama ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema mkoani humo, James Kabepele.
Wanachama hao wamesema miongoni mwa sababu zilizopelekea kujivua ni pamoja ni kudharauliwa mawazo yao ndani ya chama, hawako tayari kutokushiriki uchaguzi kwani hiyo ni haki yao ya msingi.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, James Kabepele amesema baadaye watasema rasmi kuwa watajiunga na chama gani kwa sababu siasa ni maisha ni lazima waifanye.
Mapema jana, viongozi Mei 11, 2025 viongozi 58 wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro, akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho mkoa, Gervas Mgonja walitangaza kujivua uanachama wa chama kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa chama hicho.
Viongozi wengine waliojivua ni Katibu wa Bawacha Kanda ya Kaskazini, Rachael Sadick, Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Kilimanjaro, Grace Kiwelu, Mjumbe wa kamati ya Tehama Kanda ya Kaskazini, Answary Kimaro na Mwenyekiti wa Chadema mstaafu Mkoa wa Kilimanjaro, Michael Kilawila.
Jana pia kundi la makada 80 wa chama hicho Mkoa wa kichama Temeke jijini Dar es Salaam walijivua uanachama.
Chanzo: Mwananchi
Waende tu hakuna tatizo.NO REFORM NO ELECTION.Jumla ya wanachama 110 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tabora wamejivua uanachama wa chama hicho.
Miongoni mwa wanachama waliojivua uanachama ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema mkoani humo, James Kabepele.
Wanachama hao wamesema miongoni mwa sababu zilizopelekea kujivua ni pamoja ni kudharauliwa mawazo yao ndani ya chama, hawako tayari kutokushiriki uchaguzi kwani hiyo ni haki yao ya msingi.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, James Kabepele amesema baadaye watasema rasmi kuwa watajiunga na chama gani kwa sababu siasa ni maisha ni lazima waifanye.
Mapema jana, viongozi Mei 11, 2025 viongozi 58 wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro, akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho mkoa, Gervas Mgonja walitangaza kujivua uanachama wa chama kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa chama hicho.
Viongozi wengine waliojivua ni Katibu wa Bawacha Kanda ya Kaskazini, Rachael Sadick, Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Kilimanjaro, Grace Kiwelu, Mjumbe wa kamati ya Tehama Kanda ya Kaskazini, Answary Kimaro na Mwenyekiti wa Chadema mstaafu Mkoa wa Kilimanjaro, Michael Kilawila.
Jana pia kundi la makada 80 wa chama hicho Mkoa wa kichama Temeke jijini Dar es Salaam walijivua uanachama.
Chanzo: Mwananchi
Kabisa waondoke tuHii dawa ya fumigation iongezwe, inaondoa mbarara na viroboto wote waliojificha chini ya blanket Chadema.
Labda huijui CCM vizuriEti oooh. CCM inanunua.
Ivi CCM wanaweza toa wapi hela ya kununua watu wengi hivi nyie ???
Hata wakilipwa laki Kila mmoja Hela ambayo ni ya Chini mno kumnunua mtu. Ila bado kwa budget za CCM Hawawezi fikia kuweza kuwanunua watu na idadi yote hii ya Viongozi wanaohama chadema.
Wakwendeee hao ni wachache sanaaa waondoke hawana madhara yoyoteEti oooh. CCM inanunua.
Ivi CCM wanaweza toa wapi hela ya kununua watu wengi hivi nyie ???
Hata wakilipwa laki Kila mmoja Hela ambayo ni ya Chini mno kumnunua mtu. Ila bado kwa budget za CCM Hawawezi fikia kuweza kuwanunua watu na idadi yote hii ya Viongozi wanaohama chadema.
Hakika kabisaaaHii dawa ya fumigation iongezwe, inaondoa mbarara na viroboto wote waliojificha chini ya blanket Chadema.
waondoke ili tujue moja tutangaze tarehe ya uchaguziJumla ya wanachama 110 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tabora wamejivua uanachama wa chama hicho.