PreGE2025 CHADEMA yaendelea kupukutika, Wanachama wengine zaidi ya 100 wajivua Tabora

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chama kimevamiwa na watukanaji.
 
Tabora tangia iumbwe haijawai kua na WAPINZANI IMARA.

EVEN "ULIMAKAFU"" Nyumbani kwa kina prof. lipumba Hana hata diwani mmoja.

NDIO UJE UNAMBIE TABORA KUNA WATU WENYE AKILI TIMAMU?? WANAMABADILIKO/ WANAMAPINDUZI tabora ni matoborwa hakuna chochote Cha maana .
 
wanachadema Tabora wamaefanya uamuzi wa kizalendo na kishujaa sana kukataa kubebwa ufala na vibaka na matapeli wa kisiasa ndani ya chama chao, chini ya uongozi mpya uliopoteza uelekeo.

wametumia uhuru na haki zao za kikatiba kuamua mustakabali wa hatma yao kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa october mwaka huu2025.

well done G55 Tabora
 
Wanaojivua ni viongozi tu kwasababu wana maslahi yako, mwanachama wa kawaida anahama ili iweje?
 
Haipukutiki bali inaimarika. Makapi mengi yanajiondoa!
 
Waende tu hakuna tatizo.NO REFORM NO ELECTION.
 
Labda huijui CCM vizuri
 
Wakwendeee hao ni wachache sanaaa waondoke hawana madhara yoyote
 
waondoke ili tujue moja tutangaze tarehe ya uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…