PreGE2025 CHADEMA yaendelea kupukutika, Wanachama wengine zaidi ya 100 wajivua Tabora

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa hiyo wamebaki wangapi ili tuuone upukutikaji?
 
abduli bado hajaishiwa na zile pesa chafu
 
Chadema msipoteze focus Ila ni muhimu kufahamu mbinu zinazotumiwa ili kuweza kujikinga na kusonga mbele bila kupoteza focus…Mbinu inayotumika ni divide and conquer,lengo ni kudhoofisha umoja wenu ili iwę rahisi kuwacontrol.Mgawanyiko na kutokubalina kati ya Wanachama wenu ni kutaka kuwadhoofisha,Mjielimishe kwenye hizi mbinu,hazibadiliki,Wakishindwa kwenye hii wataleta mambo mengine
 
Sure
 
Mimi ninaishi Tabora, wengi walio katika picha hiyo hawakuwa wanachama; hata hivyo nina amini kuwa ni game mind ya upande wa pili😊😊😀
 
Hesabu kali sana hivi chadema wasipoangalia this time watakuwa cuf
Kwani unadhani ni kweli kiongozi mmoja anahongwa pesa anatafutiwa kundi la watu anaambiwa atangaze wote hao ni wanachama wenzake wanahama chama ,Hilo kundi utakuta wamepewa elfu kumikumi tu angalia watu wenyewe hapo kuna hata mtu mmoja anayejitambua hapo wengi wao hapo ni wazoa taka na wafagia barabara.
 
Safi sana watabaki tu Chadema wa jf
 
Mtabaki mitandaoni tu! Field watu wanakimbia.
Siasa za namna hiyo tulisha zizoea tangu zama za kina zitto, diana shoza,na wengine wengi sana huko nyuma wala sio siasa mpya nchi hii ni ujinga ujinga tu wa watanzania ndio tatizo lakini wenye akili wote wanajua nini kinafanyika
 
Aaghh wapi hizo tumezizoea Sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…