Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa hii Nyeti imefichuliwa leo kwenye Hitimisho la Mikutano hiyo mikubwa ya kisiasa kuwahi kufanyika katika ngazi za vijiji, lililofanyika Mjini Arusha, Kata ya Murrieth, Idadi ya mikutano 166 katika kipindi kifupi namna hii, tena kwa gharama kubwa za chama cha siasa cha upinzani kwenye Nchi kama Tanzania si jambo dogo.
Hii maana yake ni kwamba afya za viongozi wa Chadema zinayo baraka za Mungu na ni Imara mno, huwezi kuwa kimeo kama kile chama kingine chenye watu wenye Visukari na Presha na ukapiga mikutano 166 non stop.
Hili ni hitimisho la Murrieth, Arusha Mjini