.Mkuu hakuna nisichokijua Chadema, huyo Msigwa mwenyewe yuko wapi leo, unajua kwanini kakimbia? kimsingi tulimdhibiti hadi kwenye Ubunge
Sitegemei uone kama sisi wengine tulioko huku nje tunavyoona; ila inaumiza sana kuona mategemeo tuliyo yaweka ni kamakwenu hayana maana kubwa kwa taifa letu.
Nasubiri tu kusikia toka kwa watu wachache ndani ya chama hicho karibuni nisiokuwa na mashaka juu yao kuhusu mapambano na genge hili la 'chura kiziwi'. Hawa watakapo zungumza, tutajuwa CHADEMA ipo wapi hasa kwa sasa.