Pre GE2025 CHADEMA yafanya mikutano ya hadhara 166 kanda ya Kaskazini, Wananchi waiahidi kura za Kutosha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Taarifa hii Nyeti imefichuliwa leo kwenye Hitimisho la Mikutano hiyo mikubwa ya kisiasa kuwahi kufanyika katika ngazi za vijiji, lililofanyika Mjini Arusha, Kata ya Murrieth, Idadi ya mikutano 166 katika kipindi kifupi namna hii, tena kwa gharama kubwa za chama cha siasa cha upinzani kwenye Nchi kama Tanzania si jambo dogo.

Hii maana yake ni kwamba afya za viongozi wa Chadema zinayo baraka za Mungu na ni Imara mno, huwezi kuwa kimeo kama kile chama kingine chenye watu wenye Visukari na Presha na ukapiga mikutano 166 non stop.

Hili ni hitimisho la Murrieth, Arusha Mjini

View attachment 3044254View attachment 3044255View attachment 3044256View attachment 3044257
Jambo jema kauli ya tumeibiwa ni marufuku kusikika!
 
Mikutano hii ni jambo jema sana, na bidii inatakiwa kuongezwa kila panapowezekana, ili kil mwananchi asitoe visababu vya kutowahi kujuwa uwepo wa CHADEMA katika eneo lake.
Lakini... Inapo kuja kwenye swala la kupiga kura na kura kuhesabika katika kuwachagua viongozi wa nchi hii; hapo naona CHADEMA ni kama hamjifunzi kitu miaka yote hii mliyonyang'anywa haki zenu waziwazi kabisa.
Umemsikia Neppy akiwika huko Bukoba kuhusu hilo la "kura kuhesabika na mshindi kutangazwa"?

Yule kilaza mwingine, waziri wa mapolisi, yeye tayari anajitangazia polisi ni mali yake, na anahimiza wajumbe wa CCM mitaani kufanya uhujumu!

Haya yote ni kama huko ndani ya chama hamuyasikii, na kama mnayasikia mnayachukulia kuwa ni komedi?

Hapo nashindwa kabisa kuwaelewa CHADEMA. Sasa manguvu yote haya ya mikutano ni ya nini wakati mnajuwa kura zenu hazitawawezesha kupata ushindi?
Katika yote uliyoandika hakuna hata moja ambalo Chadema hIjalifanyia kazi
 
Taarifa hii Nyeti imefichuliwa leo kwenye Hitimisho la Mikutano hiyo mikubwa ya kisiasa kuwahi kufanyika katika ngazi za vijiji, lililofanyika Mjini Arusha, Kata ya Murrieth, Idadi ya mikutano 166 katika kipindi kifupi namna hii, tena kwa gharama kubwa za chama cha siasa cha upinzani kwenye Nchi kama Tanzania si jambo dogo.

Hii maana yake ni kwamba afya za viongozi wa Chadema zinayo baraka za Mungu na ni Imara mno, huwezi kuwa kimeo kama kile chama kingine chenye watu wenye Visukari na Presha na ukapiga mikutano 166 non stop.

Hili ni hitimisho la Murrieth, Arusha Mjini

View attachment 3044254View attachment 3044255View attachment 3044256View attachment 3044257
Wazingatie pia kauli tata ya NAPE jana Bukoba.
 
Watu walikua wakiamka asubuhi wanapigiana simu kuulizana kama wako salama na wote wapo.
Ikiwa mmoja wao hakurudi home Jana usiki watu waliamza kumtafuta polisi,mochware na sehemu nyingine.
Mimi ni Dereva na kila mara nikienda nawakuta Marafiki na Jamaa zangu wakiwa wanaendelea na majukumu yao ya kila siku sijawahi kusikia kuwa fulani kauwawa na System.

Labda kuna hao wanaotaka kutonesha vidonda vya 94 au wanaotaka kurudisha Ukabila na mgawanyiko miongoni mwa Wanyarwanda.

Ningeomba U visit Rwanda maana Mitandao mara nyingi kila mtu na Propaganda.
 
Yeyote atakayeshika Rwanda leo mambo yatatulia tu, Kagame wa kumuogopa Diane Rwigara kweli?
Rwanda inahitaji strongman ambae sio Dikteta na Kagame kafiti vizuri sana mtu akitaka kutumia Demokrasia ili kuleta zile Issue za kuwagawa Wanyaru katika misingi ya Uhutu na Utusi ananyakwa anatupwa Mulupango.
 
Mkuu Visit Rwanda ukaone Usalama uliopo kitu ambacho kilimshinda Habyarimana.
Walioharibu usalama wakati wa Habyalimana ndio hao hao RPF wakiwa kama uvccm enzi hizo. Rwandani Patriotic Front kabla ya kuwa Rwandani Patriotic Army ikiongozwa na kina col Fred Rwigyema na huyo huyo PK
 
Ohooooo!!
 
Wanyarwanda walikuwa wamechoka kukaa Ukimbizini wakamuambia Hayati Habyarimana kuwa wanataka kurudi HOME Habyarimana akasema Rwanda ni "Akazu" haitawatosha wote.

RPF Inkotanyi wakabeba Silaha na kurudi nyumbani Wahutu wenye msimamo mkali wakaanza kuwaua Wanyarwanda wenye asili ya Kitutsi na kupinga makubaliano ya AMANI ya ARUSHA na hatimae kumuua Raisi Juvenali Habyarimana na Raisi wa Burundi.

Rais Kagame akapambana na kukomesha MAUAJI ya KIMBARI na mpaka sasa huwezi kuamini kuwa Rwanda iliwahi kupitia misukosuko yote hiyo KAITULIZA RWANDA.
 
Kaituliza kagame au USA?
 
Katika yote uliyoandika hakuna hata moja ambalo Chadema hIjalifanyia kazi
Labda kama ni siri ya chama. Lakini ninachoona CCM wamo kwenye njia zilezile ambazo huzitumia miaka yote kuendelea kubaki madarakani, lakini sioni mikakati ya kukabiliana na hali hiyo kwa upande wa CHADEMA. Hili ndilo linalotia wasiwasi.

'Chura Kiziwi' safari hii hatumii mbinu zile zile za miaka yote pekee, lakini kajizatiti kwelikweli, na kwa msaada wa wajomba safari hii atabaki madarakani kwa kuwanunua wote watakao tishia kumzuia kufanya hivyo.
 
Chura kiziwi hana uwezo , hajawahi kuwa nao na wala hatakuja kuwa nao wa kuinunua Chadema
 
You ain't seen nothing yet Erytho!
Hayo ya uchaguzi wa Kanda ya Nyasa ulikuwa ni trela ndogo sana, tena hafifu kwelikweli! Fungua macho na akili.
 
Mkuu hakuna nisichokijua Chadema, huyo Msigwa mwenyewe yuko wapi leo, unajua kwanini kakimbia? kimsingi tulimdhibiti hadi kwenye Ubunge
 
Back
Top Bottom