Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mkuu Namba hazidanganyi.Taarifa hii Nyeti imefichuliwa leo kwenye Hitimisho la Mikutano hiyo mikubwa ya kisiasa kuwahi kufanyika katika ngazi za vijiji, lililofanyika Mjini Arusha...
Tunatarajia mpaka kesho mchana atakuwa amevuliwa uwaziriMkuu Namba hazidanganyi.
Nadhani Mh Nape aliona kazi hii ndio akaamua kuwatisha watu...ile kauli yake ni ya mtu aliyekata tamaa.
Thubutu....kwani kakosea nini?Tunatarajia mpaka kesho mchana atakuwa amevuliwa uwaziri
Naunga mkono hoja, hili sii jambo dogo, kipimo cha baraka kisiwe ni idadi ya makundi ya watu kwenye mikutano, bali idadi ya kura za ndio kwenye sanduku la kura.Taarifa hii Nyeti imefichuliwa leo kwenye Hitimisho la Mikutano hiyo mikubwa ya kisiasa kuwahi kufanyika katika ngazi za vijiji, lililofanyika Mjini Arusha, Idadi ya mikutano 166 katika kipindi kifupi namna hii, tena kwa chama cha siasa cha upinzani si jambo dogo.
Hii maana yake ni kwamba Chadema zinayo baraka za Mungu
Kagame kaweka maboya yake ili ashinde 100%, Huyu jamaa ni muoga kibwege sanaRPF Inkotanyi nao wameshinda.🫠
Nape kishatenguliwa au bado?Naunga mkono hoja, hili sii jambo dogo, kipimo cha baraka kisiwe ni idadi ya makundi ya watu kwenye mikutano, bali idadi ya kura za ndio kwenye sanduku la kura.
Mungu Ibariki Chadema, ili 2025 tuzishuhudie hizo baraka.
P
Wameshasema watafanya yao harafu watakimbilia Misikitini Kuomba Mungu nisameheNaunga mkono hoja, hili sii jambo dogo, kipimo cha baraka kisiwe ni idadi ya makundi ya watu kwenye mikutano, bali idadi ya kura za ndio kwenye sanduku la kura.
Mungu Ibariki Chadema, ili 2025 tuzishuhudie hizo baraka.
P
Hahaha......yarateye intambwe hanyuma yakoze ibyaha vyukwica abhahutu. Ugwimo gui 'Rwanda nibyo yabhakoreye. Bharamutinya cane.....umugabho numuriro.RPF Inkotanyi nao wameshinda.🫠
Lakini ni Mr Security kaituliza Rwanda kuna Amani ya kutosha.Kagame kaweka maboya yake ili ashinde 100%, Huyu jamaa ni muoga kibwege sana
Ni sawa na Kusema Tanganyika Uhuru uliletwa na NyerereLakini ni Mr Security kaituliza Rwanda kuna Amani ya kutosha.
Nikienda Rwanda huwa napaki popote nalala bila wasiwasi.
Yeyote atakayeshika Rwanda leo mambo yatatulia tu, Kagame wa kumuogopa Diane Rwigara kweli?Lakini ni Mr Security kaituliza Rwanda kuna Amani ya kutosha.
Nikienda Rwanda huwa napaki popote nalala bila wasiwasi.
Asante kamanda! Maccm yanaharisha TU!Taarifa hii Nyeti imefichuliwa leo kwenye Hitimisho la Mikutano hiyo mikubwa ya kisiasa kuwahi kufanyika katika ngazi za vijiji, lililofanyika Mjini Arusha, Kata ya Murrieth, Idadi ya mikutano 166 katika kipindi kifupi namna hii, tena kwa gharama kubwa za chama cha siasa cha upinzani kwenye Nchi kama Tanzania si jambo dogo.
Hii maana yake ni kwamba afya za viongozi wa Chadema zinayo baraka za Mungu na ni Imara mno, huwezi kuwa kimeo kama kile chama kingine chenye watu wenye Visukari na Presha na ukapiga mikutano 166 non stop.
Hili ni hitimisho la Murrieth, Arusha Mjini
View attachment 3044254View attachment 3044255View attachment 3044256View attachment 3044257
Madikteta uchwara!Kagame kaweka maboya yake ili ashinde 100%, Huyu jamaa ni muoga kibwege sana
Hahahaa .....inabidi nicheke tu. Sasa hii ina uhusiano gani Mr RedBlood CellsHii maana yake ni kwamba afya za viongozi wa Chadema zinayo baraka za Mungu na ni Imara mno, huwezi kuwa kimeo kama kile chama kingine chenye watu wenye Visukari na Presha na ukapiga mikutano 166 non stop.
Mikutano hii ni jambo jema sana, na bidii inatakiwa kuongezwa kila panapowezekana, ili kil mwananchi asitoe visababu vya kutowahi kujuwa uwepo wa CHADEMA katika eneo lake.Hili ni hitimisho la Murrieth, Arusha Mjini
Inategemea ameitulizajeLakini ni Mr Security kaituliza Rwanda kuna Amani ya kutosha.
Nikienda Rwanda huwa napaki popote nalala bila wasiwasi.
Hopeless!Hahaha......yarateye intambwe hanyuma yakoze ibyaha vyukwica abhahutu. Ugwimo gui 'Rwanda nibyo yabhakoreye. Bharamutinya cane.....umugabho numuriro.