.
Sitegemei uone kama sisi wengine tulioko huku nje tunavyoona; ila inaumiza sana kuona mategemeo tuliyo yaweka ni kamakwenu hayana maana kubwa kwa taifa letu.
Nasubiri tu kusikia toka kwa watu wachache ndani ya chama hicho karibuni nisiokuwa na mashaka juu yao kuhusu mapambano na genge hili la 'chura kiziwi'. Hawa watakapo zungumza, tutajuwa CHADEMA ipo wapi hasa kwa sasa.
Hajakosea aliyosema ndo kaz ya CCM. HAWAJIAMINI ndiyo maana wanaendesha kampeni kabla ya muda. Wakiona mambo hayaendi inafuata hatua ya pili wakishindwa inafuata hatua ya tatu. Wakimaliza wanasema Mungu tusamehe!