Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwa hiyo,kumbe unampango wa kuhamia ACT?
mpaka unawafatilia kiasi hiki!!
Kwani ukifuatilia habari za US kuhusu maandamano, utakuwa unataka kuhamia huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo,kumbe unampango wa kuhamia ACT?
mpaka unawafatilia kiasi hiki!!
Hata mwenyekiti wa tume angekuwa Mbowe ,chadema itafeli tuHaahaa kwa kura chini ya tume hii Ni ngumu kumeza.
Chondechonde usiende ACT njoo CCM akali zitarudi na utakaa sawa.Kwani ukifuatilia habari za US kuhusu maandamano, utakuwa unataka kuhamia huko?
Ndivyo anavyowafariji?Matokea ya hiki kifo cha chadema ni kwa sababu ya kisalitiwa kwa Dr Slaa.
Ngonjera zilizochinaHata mwenyekiti wa tume angekuwa Mbowe ,chadema itafeli tu
Laana ya Dr slaa inakimaliza hiki chama
Vipi mkuu tangazo hili linawahusu watu wa mtaani au ni watu"fulani maalum" peke yao? Na vipi kuhusu "mlango" wa majadiliano ya kuungana, vyama vya NCCR na CUF vinaruhusiwa?Mkuu tunaendelea kusubiri , ni vizuri ukituonyesha na time tujipange
Habari ndo hiyo.Dira ya duniaNdivyo anavyowafariji?
Tangu lini CCM wakashinda chaguzi bila mbeleko, tunakoenda mbeleko zitachanika, the world is not static.Inamaana hamjapanga na kumwandaa mgombea wa kumsidikiza jpm katika ushindi wake .chadema unamatatizo gani tuleteeni msindikizaji
Wala sijui Bavicha inafananajeAlafu ukite wewe ni bavicha..
Kuandika tu issue, JF siku hizi imezoa wengi mno.yaani kuna watu wanapenda kuchosha akili kama wewe dada yaani unasema CHADEMA inenda kushinda urais? upi kwanza labda wa TFF tusikubishie sana
Huyo ni sawa na dereva bodaboda anayejifunza kuendesha usiku mmoja. Kukikucha anaenda kuomba leseni ya udereva.Kuandika tu issue, JF siku hizi imezoa wengi mno.
Chondechonde usiende ACT njoo CCM akali zitarudi na utakaa sawa.
Ally happy mzee.Mimi nije kwenye chama cha wazee!
Ally happy mzee.
Makonda mzee.
Jokate mzee.
Jery Slaa.
Kheri James mzee.
CCM inavijana damu changa mamilioni kwa mamilioni.
Ila sishangai Bavicha kudharau wezee kama akina Prof.Baregu na Prof.Safari
Katibu Mkuu wa CHADEMA , John Mnyika atatoa tamko muhimu la Chama kwa umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari, leo Jumatano, Juni 3, 2020.
Je, Atamjibu Msajili wa vyama kuhusu vyama kupeleka ratiba za kampeni ilhali mikutano bado imezuiliwa na haijulikani lini itaruhusiwa.
Je, Ataijibu NEC Taifa kuja na kanuni zake mfukoni, mjawapo ikiwa mawakala kutopewa nakala ya matokeo.
STAY TUNED.
=====
"Bado kuna mwanya katika muda huu wa Bunge uliobakia, upelekwe muswada Bungeni ambao utafanya tupate Tume Huru ya Uchaguzi, ila tumejiandaa kuhakikisha tunaitoa Ccm madarakani" Katibu Mkuu wa CHADEMA
"Tunatawaka watia nia wa CHADEMA kusoma miongozo vizuri, kuna muongozo mahsusi kabisa toka 2012, wazingatie muongozo katika hatua mbalimbali, wakikiuka Chama hakitasita kuwachukulia hatua,ili kuhakikisha tunapata viongozi walio bora katika Taifa" Katibu Mkuu Nyika.
"CHADEMA kimefungua milango 2 muhimu, kuelekea Uchaguzi Mkuu, Mlango wa 1; ambao tunaufungua leo ni wa kuruhusu watia nia wa Urais kupitia Chadema na mlango wa 2; ni mlango wa majadiliano na vyama vyenye dhamira ya kweli ya kushirikiana kuitoa Ccm madarakani" Mnyika.
"Tulitaka Tume Huru ya Uchaguzi ili kuwe na uchaguzi huru na wa haki, bado tunasisitiza kwa watawala tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi, ila tumejiandaa kwa njia nyingine kuhakikisha Ccm wanatoka madarakani, katika wakati muafaka tutawaongoza wananchi kudai haki" Mnyika.
Kwa mfano Jakate Mwegelo aliwazaa, akaona afanye arambee ya kujenga shule wilaya yake ya kisarawe na kweli akajenga.Uzee sio umri peke yake, hata mitazamo pia inaweza kukufanya mzee.