CHADEMA yafungua rasmi pazia la mbio za Urais. Wanaotaka kuomba ridhaa hiyo waruhusiwa

CHADEMA yafungua rasmi pazia la mbio za Urais. Wanaotaka kuomba ridhaa hiyo waruhusiwa

Kwa mfano Jakate Mwegelo aliwazaa, akaona afanye arambee ya kujenga shule wilaya yake ya kisarawe na kweli akajenga.
Kwahiyo wazo kama hili ni la kizee?
Bavicha mpimwe akili

Hilo ni wazo la kijana mzee.
 
Kumbe na wewe ni takataka. Huwa nakuthamini sana, kumbe akili matope kama wenzako Lumumba! Statement kama hiyo waachie wenye IQ less than 10! Usijiingize kutoa Rubbish statements from a Rubbid mind!
Inapendeza mkikubali ukweli. Kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ilikuwa ni aibu kuvaa sare ya CCM ukipita nayo mtaani, lakini kwa sasa ni aibu kuvaa sare ya CDM ukakatiza nayo mtaani.
 
Nenda kachukue fomu pale, yule waliemtegemea kaona maji marefu kupambana na daktari katafuta sababu nyingi ili aendele kubaki huko huko.
Chadema huwa hawana mambo mengi sana hasa kama utaweza kuongea vizuri na Mbowe au fanya mawasiliano kwanza na Lowassa kujua kiasi gani kinahitajika kupeperusha bendera.
Huu ndio wakati wa kazi na bata sio kila siku kumtuma mtoto mdogo Zitto kukuongelea. Njoo upambane kianaume uone maana ya mtu kuitwa chuma Magufuli.
Mngekuwa mko tayari kupambana kianaume mngeachia uwanja wa siasa uliyo level sawa kwa wote.
Bila ya aibu, mmewanyima wengine pumzi ya kufanya siasa kwa miaka zaidi ya miaka minne na bado mwaogopa uwepo wa tume huru.
Mbeleko iliyowalemaza ndio itakayowamaliza mwaka huu.
Tutakula sahani moja. We shall overcome
 
yaani kuna watu wanapenda kuchosha akili kama wewe dada yaani unasema CHADEMA inenda kushinda urais? upi kwanza labda wa TFF tusikubishie sana
Wewe ndio utakuja elezea vizuri.
 
Inapendeza mkikubali ukweli. Kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ilikuwa ni aibu kuvaa sare ya CCM ukipita nayo mtaani, lakini kwa sasa ni aibu kuvaa sare ya CDM ukakatiza nayo mtaani.
Hoja za watoto waliozoea kujivunia mbeleko. Hamtaamini mtakachokiona
 
Kwakweli mwaka huu Chadema inaelekea kwenye uchaguzi mkuu huku ikiwa imepoteza mvuto 100%.
Sioni kama kuna mbunge wa chadema anaye weza kurudi bungeni, walio soma alama ndio hao wamekihama chama huenda wakashinda. Heri yao wamejiongeza mapema, walio baki wamekubali kufa na tai shingoni. Kila la heri!
Huo ndio ukweli ambao wanachadema hawataki kuusikia, sidhani kama watapata hata mbunge mmoja,hayaaminiki tena
 
Inapendeza mkikubali ukweli. Kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ilikuwa ni aibu kuvaa sare ya CCM ukipita nayo mtaani, lakini kwa sasa ni aibu kuvaa sare ya CDM ukakatiza nayo mtaani.
Kwa nguvu ya polisi sawa, jiulize milioni 400 za akina Mbowe zilitoka wap? Ndiyo hayo ninayoyasema!
 
Duniani kuna uchaguzi unafanyika pasipo ya usimamizi wa polisi?

Hivi unapata picha gani polisi yuko kwenye kituo cha kura, kisha maboxi yanatolewa mbele ya macho yake na kwenda kujazwa kura za ccm, kisha yanarudishwa akiwa anaangalia bila kuchukua hatua yoyote?
 
Tatizo chadema haikujipanga kwa Uchaguzi mkuu, haina maandalizi kabisaa!! ni sawa na mwanafunzi ambaye hakujiandaa na mitihani halafu anatakiwa kuingia ktk chumba cha mtihani......,, hapo tegemea visingizio vya kila aina.
 
Kwakweli mwaka huu Chadema inaelekea kwenye uchaguzi mkuu huku ikiwa imepoteza mvuto 100%.
Sioni kama kuna mbunge wa chadema anaye weza kurudi bungeni, walio soma alama ndio hao wamekihama chama huenda wakashinda. Heri yao wamejiongeza mapema, walio baki wamekubali kufa na tai shingoni. Kila la heri!
Haiwasaidii kujitoa ufahamu, ambae aliishapoteza mvuto mbona anaonekana wazi wazi.
-Kawazibia wenzie kufanya siasa na akabaki peke yake, kwa zaidi ya miaka minne, lakini ndio anazidi kuwaogopa waliofungiwa
-Anaogopa uwepo wa TUME huru ambao ungewezesha pawe na usawa wakati wa kupiga, kuhesabu, kutoa na kuyatangaza matokeo ya kura
-TUME yake aliyoiteua mwenyewe ishaanza kuanda mazingira ya kumbeba kwa kanuni mbovu, eti mawakala sio lazima waone matokeo ya kura
-Alivyojiandaa kubebwa kwa teuzi za ma DED na mikutano mbalimbali.
Pamoja na yote, kwa nguvu ya wananchi tutakula nanyi sahani moja. AMEN
 
Hivi unapata picha gani polisi yuko kwenye kituo cha kura, kisha maboxi yanatolewa mbele ya macho yake na kwenda kujazwa kura za ccm, kisha yanarudishwa akiwa anaangalia bila kuchukua hatua yoyote?
Wakati huo mawakala wa vyama vya upinzani wanakuwa wapi?
 
Back
Top Bottom