kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,398
🚶♂️🚶♂️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mfano Jakate Mwegelo aliwazaa, akaona afanye arambee ya kujenga shule wilaya yake ya kisarawe na kweli akajenga.
Kwahiyo wazo kama hili ni la kizee?
Bavicha mpimwe akili
Karibu CCM upunguze stressHilo ni wazo la kijana mzee.
Karibu CCM upunguze stress
Weka akiba ya maneno.usitukane mamba kabla hujavuka mtoLabda maiti yangu.
Inapendeza mkikubali ukweli. Kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ilikuwa ni aibu kuvaa sare ya CCM ukipita nayo mtaani, lakini kwa sasa ni aibu kuvaa sare ya CDM ukakatiza nayo mtaani.Kumbe na wewe ni takataka. Huwa nakuthamini sana, kumbe akili matope kama wenzako Lumumba! Statement kama hiyo waachie wenye IQ less than 10! Usijiingize kutoa Rubbish statements from a Rubbid mind!
Mngekuwa mko tayari kupambana kianaume mngeachia uwanja wa siasa uliyo level sawa kwa wote.Nenda kachukue fomu pale, yule waliemtegemea kaona maji marefu kupambana na daktari katafuta sababu nyingi ili aendele kubaki huko huko.
Chadema huwa hawana mambo mengi sana hasa kama utaweza kuongea vizuri na Mbowe au fanya mawasiliano kwanza na Lowassa kujua kiasi gani kinahitajika kupeperusha bendera.
Huu ndio wakati wa kazi na bata sio kila siku kumtuma mtoto mdogo Zitto kukuongelea. Njoo upambane kianaume uone maana ya mtu kuitwa chuma Magufuli.
Wewe ndio utakuja elezea vizuri.yaani kuna watu wanapenda kuchosha akili kama wewe dada yaani unasema CHADEMA inenda kushinda urais? upi kwanza labda wa TFF tusikubishie sana
Hoja za watoto waliozoea kujivunia mbeleko. Hamtaamini mtakachokionaInapendeza mkikubali ukweli. Kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ilikuwa ni aibu kuvaa sare ya CCM ukipita nayo mtaani, lakini kwa sasa ni aibu kuvaa sare ya CDM ukakatiza nayo mtaani.
Inawezekana! Walikuwa hawajui utaratibu, imekula kwao! Mtu mwenyewe ana PhD lakini ni kama hajasoma!Alitumwa toka kwa akina mwambe bila shaka
Huo ndio ukweli ambao wanachadema hawataki kuusikia, sidhani kama watapata hata mbunge mmoja,hayaaminiki tenaKwakweli mwaka huu Chadema inaelekea kwenye uchaguzi mkuu huku ikiwa imepoteza mvuto 100%.
Sioni kama kuna mbunge wa chadema anaye weza kurudi bungeni, walio soma alama ndio hao wamekihama chama huenda wakashinda. Heri yao wamejiongeza mapema, walio baki wamekubali kufa na tai shingoni. Kila la heri!
Kwa nguvu ya polisi sawa, jiulize milioni 400 za akina Mbowe zilitoka wap? Ndiyo hayo ninayoyasema!Inapendeza mkikubali ukweli. Kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ilikuwa ni aibu kuvaa sare ya CCM ukipita nayo mtaani, lakini kwa sasa ni aibu kuvaa sare ya CDM ukakatiza nayo mtaani.
Duniani kuna uchaguzi unafanyika pasipo ya usimamizi wa polisi?Kwa nguvu ya polisi sawa, jiulize milioni 400 za akina Mbowe zilitoka wap? Ndiyo hayo ninayoyasema!
Duniani kuna uchaguzi unafanyika pasipo ya usimamizi wa polisi?
Ushalishapewa buku saba ee maana naona unapayuka sana subiri uone hiyo October ndiyo utajuaKitatawala nini kuanzia October [emoji38]
Haiwasaidii kujitoa ufahamu, ambae aliishapoteza mvuto mbona anaonekana wazi wazi.Kwakweli mwaka huu Chadema inaelekea kwenye uchaguzi mkuu huku ikiwa imepoteza mvuto 100%.
Sioni kama kuna mbunge wa chadema anaye weza kurudi bungeni, walio soma alama ndio hao wamekihama chama huenda wakashinda. Heri yao wamejiongeza mapema, walio baki wamekubali kufa na tai shingoni. Kila la heri!
Policcm wanaobeba maboksi ya kura, kwa kweli hamna labda wakati ule kwa EmperorJean Bedel Bokkasa.Duniani kuna uchaguzi unafanyika pasipo ya usimamizi wa polisi?
Wakati huo mawakala wa vyama vya upinzani wanakuwa wapi?Hivi unapata picha gani polisi yuko kwenye kituo cha kura, kisha maboxi yanatolewa mbele ya macho yake na kwenda kujazwa kura za ccm, kisha yanarudishwa akiwa anaangalia bila kuchukua hatua yoyote?