N Noti bandia JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 2,684 Reaction score 4,315 Jun 4, 2020 #241 Kilichowashinda kutoa nafasi mwaka 2015 kilkua nn. Mlishakosea sn na kusahihisha makosa sio kazi ndogo. Chadema jifunzeni kuandaa viongozi wenu sio kujiokotea tu
Kilichowashinda kutoa nafasi mwaka 2015 kilkua nn. Mlishakosea sn na kusahihisha makosa sio kazi ndogo. Chadema jifunzeni kuandaa viongozi wenu sio kujiokotea tu
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Jun 4, 2020 #242 goggles said: Wakati huo mawakala wa vyama vya upinzani wanakuwa wapi? Click to expand... Hao mawakala wanapigwa na green guard kwa uratibu wa jeshi la polisi.
goggles said: Wakati huo mawakala wa vyama vya upinzani wanakuwa wapi? Click to expand... Hao mawakala wanapigwa na green guard kwa uratibu wa jeshi la polisi.