Chief Isike
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 445
- 462
Wakati CCM, wakiendelea kuhangaika na kutetea ufisadi huko Bukoba na kuogopa kuwatimua madiwani wao, wakihofia kipigo cha 8-0, CHADEMA imezidi kusonga mbele ikiendesha Mabaraza Huru ya kujadili Rasimu ya Katiba Mpya.
Maelfu wanazidi kujazana kushiriki mijadala na kutoa maoni yao kwenye mabaraza ya CHADEMA.
Wengine tusisahau kuwa kuna thread hapa iko kwenye sticky, ambayo inaonesha namba ya simu,email na jinsi ya kujaza fomu kwa sisi members wa GT. Tutumieni fursa hiyo.
Cheki nyomi za watu.