Kama kweli Tanzania ni ya watanzania wote bila kujali itikadi zetu,rangi zetu,ubini wetu,bs ccm ipeni chadema nchi walau kwa miaka 5.
Chadema sio kikundi bali ni taasisi kubwa inayoweza ongoza nchi bila msaada toka ccm.
Chadema sio wadini bali ndani ya chadema kuna wakrsto na waislm na wapagani.
Chadema sio magaidi bali ndani yake kuna watetezi wa haki za binadamu na masilahi ya Taifa.
Mahakama imedhibitisha kuwa cdm sio magaidi ila mwigulu hataki.
Uhuru wa nchi uliletwa na babu zetu,baba zetu,babu zao,mama zetu,bibi zetu sasa iwaje leo siso watoto tupiganie ikulu?
Leo ww umezaliwa ccm,imekulia ccm,umesomea ccm,umeajiriwa na ccm,kwa nini wenzako nao wasizaliwe cdm na kukulia cdm na kusomea cdm na hata kufanya kazi cdm? Wivu wa nini bandugu?
Haya saaa uneni aibu hii,leo chama cha mapinduzi kinafanya mkutano wa maoni ya katiba ndani ya ukumbi wakati chadema wanafanya uwanjani kweeeeeupe.
Iko wapi alama ya jembe na nyundo?
Tutakufa wangapi ili kurudiaha heshima ya chama cha mapinduzi?
Kwani mkiachi nchi na kijipanga upya na kuangalia mapungufu ya hao mtakao wapa nchi,hamuwe shinda uchaguzi tena? Kihoro cha nini sasa? Mnahofia kupokwa nyumba za serikali na viwanja vya wazi?(tunavyolaza vimeo vyetu) au hatamu za diplomatic passport?.
Yote haya yamenitoka baada ya kuona mwitikio wa wananchi katika sehemu mbali mbali inakopita chadema kukusanya maoni ya katiba mpya pamoja na hayo mabomu ya kichina yanayowalipukia stil wanapata support ya kutisha, kwa mtizamo wa haraka kama ww raia wa kawaida unapata picha gani?