CHADEMA yafunika Mabaraza ya Tume, CCM, maelfu wajitokeza kujadili, kutoa maoni

Chief Isike

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2010
Posts
445
Reaction score
462
Wakati CCM, wakiendelea kuhangaika na kutetea ufisadi huko Bukoba na kuogopa kuwatimua madiwani wao, wakihofia kipigo cha 8-0, CHADEMA imezidi kusonga mbele ikiendesha Mabaraza Huru ya kujadili Rasimu ya Katiba Mpya.

Maelfu wanazidi kujazana kushiriki mijadala na kutoa maoni yao kwenye mabaraza ya CHADEMA.

Wengine tusisahau kuwa kuna thread hapa iko kwenye sticky, ambayo inaonesha namba ya simu,email na jinsi ya kujaza fomu kwa sisi members wa GT. Tutumieni fursa hiyo.

Cheki nyomi za watu.
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1376566450.001509.jpg
    103.2 KB · Views: 708
  • ImageUploadedByJamiiForums1376566486.938002.jpg
    125.2 KB · Views: 2,339
Wananchi wanaelewa form IV wa chadema ni ya zaidi professor wa CCM, wanajongea kuliko na mijadala yenye akili.
 
Reactions: BAK
Mabaraza ya Huru ya CHADEMA, yamefunika kabisa mabaraza ya Tume ya Jaji Warioba, CCM na vyama vingine hata havionekani kama vipo! Au vimepuuza suala hili muhimu kwa ajili yetu sisi wananchi. Au kwa sababu katiba mpya haikuwa agenda yao. Heri wawaachie wenye agenda hiyo waisukume kama wanavyofanya sasa nchi nzima. Wanapiga kote kote kwa helkopta mbili.
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1376566783.420404.jpg
    110.2 KB · Views: 2,077
  • ImageUploadedByJamiiForums1376566813.398172.jpg
    75.6 KB · Views: 1,050
Wananchi wanaelewa form IV wa chadema ni professor wa CCM, wanajongea kuliko na mijadala yenye akili.

Kapotolo

Hii kitu wanayoita Wamasai 'Mufument' inawamaliza CCM kabisa. Na hili suala la Katiba Mpya limewakalia shoto. Wanagombana na wananchi.
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1376567027.292447.jpg
    108.5 KB · Views: 1,713
  • ImageUploadedByJamiiForums1376567065.073013.jpg
    124.2 KB · Views: 422
  • ImageUploadedByJamiiForums1376567098.301019.jpg
    107.9 KB · Views: 417
Kweli ni Nyomi hata sijawahi ona watu wengi kama hawa hivi karibuni
 
hivi haya mabaraza ya nape na warioba yameishia wapi!
 
Hata kwenye mikutano Mwakasege huwa anafunika sana.
 
hivi haya mabaraza ya nape na warioba yameishia wapi!

Ya Nepi yaliiishia hapo...hayakuvuka hata maji....bora Warioba na watu wake wapo kidg kdg. CCM walituma watu wao wakakutana na moto wa CHADEMA. Watu wamekula somo la uraia mfululizo kwa miaka kadhaa sasa. Agenda haikuwa yao. Mapendekezo ya Rasimu ambayo yanatokana na maoni ya watu, karibu yote CCM hawayataki.

Unajua CHADEMA wanavyocheza karata yao?
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1376568781.423838.jpg
    115.6 KB · Views: 2,896
  • ImageUploadedByJamiiForums1376568805.283881.jpg
    76.9 KB · Views: 1,745
  • ImageUploadedByJamiiForums1376568827.834251.jpg
    117.1 KB · Views: 1,757
Sasa hivi CDM wameimarisha ulinzi kwenye mikutano yao, Mwigulu ajaribu kutuma mrusha kiazi aone kibano chake-hatatoka! Peoooooplezzzzzzz Poweeeeer!
 
Pro CCM kwenye hizi thread wanasoma tu, comment zinakuwa ngumu kuandikika.
 
Issue hapa sio nyomi bali ni elimu mbadala inayotolewa na viongozi wa umma,chadema.Big up comrades.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…