CHADEMA yafuta uteuzi viongozi kamati za Kanda ya Nyasa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imefuta uteuzi wa wenyeviti na makatibu wa kamati za kudumu za chama hicho, Kanda ya Nyasa.

1768640206550.png
Januari mosi, 2026 Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu alifanya uteuzi wa makatibu na wenyeviti wa kamati za kudumu wa kanda hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Sugu, viongozi walioteuliwa ni Fanuel Siame (mwenyekiti wa kamati ya fedha) na katibu wake ni Angumbwike Ntuli, kamati ya ilani itaongozwa na Leonard Fumbo na Elijah Simbeye (katibu).

Taarifa hiyo inaeleza kuwa, kamati ya mafunzo itaongozwa na Frank Nkana (mwenyekiti) na Emily Mwakilembe (katibu), kamati ya wagombea, Obadia Mwaipalu (mwenyekiti) na Neema Kasinge (katibu), kamati ya ujenzi, Bruce Nyamwangi (mwenyekiti) na Frank Kifunda (katibu).

Wengine ni kamati ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) mwenyekiti ni Daniel Naftari na Fikiri Zambi (katibu), kamati ya sheria na haki ya binadamu, mwenyekiti ni Fredrick Kihwelo na Irene Mhando (katibu) wakati kamati ya Chadema msingi itaongozwa na Pascal Haonga (mwenyekiti).

Hata hivyo, uteuzi huo, uliibua mvutano na kupingwa na baadhi ya wajumbe wa Kanda ya Nyasa walioandika barua ya malalamiko katika ofisi ya katibu mkuu wa Chadema, wakiitaka iingilie kati.
 
Minyukano hiyo inaendea! Mtakoma huku John Heche anataka kumuwekea Sumu Tundu Lissu Gerezani kule wanasambaratishwa.

IMG_0829.jpeg
 
Ajabu ni kwamba Mwenyekiti na katibu wa Kanda wamekalia bado Viti vyao
 
Ulikua CUF, ukaenda, ACT-W, wewe kote huko baada ya malengo yako kufeli bado unaichukia Chadema.
Mujahidina bana, kila wakati kutafuta visa tu! Na dunia nzima inewachoka. Kerb
Punguza kujieleza sana andika comment fupi.
 
Ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imefuta uteuzi wa wenyeviti na makatibu wa kamati za kudumu za chama hicho, Kanda ya Nyasa.

Januari mosi, 2026 Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu alifanya uteuzi wa makatibu na wenyeviti wa kamati za kudumu wa kanda hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Sugu, viongozi walioteuliwa ni Fanuel Siame (mwenyekiti wa kamati ya fedha) na katibu wake ni Angumbwike Ntuli, kamati ya ilani itaongozwa na Leonard Fumbo na Elijah Simbeye (katibu).

Taarifa hiyo inaeleza kuwa, kamati ya mafunzo itaongozwa na Frank Nkana (mwenyekiti) na Emily Mwakilembe (katibu), kamati ya wagombea, Obadia Mwaipalu (mwenyekiti) na Neema Kasinge (katibu), kamati ya ujenzi, Bruce Nyamwangi (mwenyekiti) na Frank Kifunda (katibu).

Wengine ni kamati ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) mwenyekiti ni Daniel Naftari na Fikiri Zambi (katibu), kamati ya sheria na haki ya binadamu, mwenyekiti ni Fredrick Kihwelo na Irene Mhando (katibu) wakati kamati ya Chadema msingi itaongozwa na Pascal Haonga (mwenyekiti).

Hata hivyo, uteuzi huo, uliibua mvutano na kupingwa na baadhi ya wajumbe wa Kanda ya Nyasa walioandika barua ya malalamiko katika ofisi ya katibu mkuu wa Chadema, wakiitaka iingilie kati.
sarakasi na porojo zingine bana dah:pedroP:
 
Hiki kweli chama cha kanisa tena TEC.
Majina yote ni Wagalatia tu!
 
Wamefutwa bila Rupia kutoa tamko? Habari nyingine....

Amandla...
 
Ukute wametenguliwa kwa ushauri wa Padri Kitima
 
Back
Top Bottom