Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,592
- 15,404
Sijawahi kula rushwa hizi ni hustle ni graduate wa Magufuli school of LeadershipBora kuwa masikini wa kipato Cha halali. Kuliko kuwa tajiri mla rushwa na chawa
Sijawahi kula rushwa hizi ni hustle ni graduate wa Magufuli school of LeadershipBora kuwa masikini wa kipato Cha halali. Kuliko kuwa tajiri mla rushwa na chawa
Nenda Zanzibar ukaangalie majina ya viongozi wa ccm, kisha uje ulete mrejesho wa huu upuuzi wako.Hiki kweli chama cha kanisa tena TEC.
Majina yote ni Wagalatia tu!
Dada kashadadia damu gani hapo mkuuMawakala wa mauaji katika ubora wenu, damu mnayoishadidia haitawaacha salama.
Ahaa kumbe mpaka twende Zanzibar!Nenda Zanzibar ukaangalie majina ya viongozi wa ccm, kisha uje ulete mrejesho wa huu upuuzi wako.
Huo ni mfano mmoja, lengo ni kumuonyesha huyo chawa mwenzio, ratio ya viongozi wa eneo fulani hutokana na wapi ni wengi kabila, dini nk. Sio suala la kubalance waisilamu na wakristo.Ahaa kumbe mpaka twende Zanzibar!
So Bara ni TEC na Zenj ni kobaz sio?