Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mawakala wa mauaji katika ubora wenu, damu mnayoishadidia haitawaacha salama.Minyukano hiyo inaendea! Mtakoma huku John Heche anataka kumuwekea Sumu Tundu Lissu Gerezani kule wanasambaratishwa.
View attachment 3531044
Mtakoma halafu huu uzi mbona hauna wachangiaji? Mnachungulia mnakimbia njooni hapa tuongeeMawakala wa mauaji katika ubora wenu, damu mnayoishadidia haitawaacha salama.
Ulikua CUF, ukaenda, ACT-W, wewe kote huko baada ya malengo yako kufeli bado unaichukia Chadema.Nyumbu bana
Punguza kujieleza sana andika comment fupi.Ulikua CUF, ukaenda, ACT-W, wewe kote huko baada ya malengo yako kufeli bado unaichukia Chadema.
Mujahidina bana, kila wakati kutafuta visa tu! Na dunia nzima inewachoka. Kerb
Sawa.Minyukano hiyo inaendea! Mtakoma huku John Heche anataka kumuwekea Sumu Tundu Lissu Gerezani kule wanasambaratishwa.
View attachment 3531044
Dunia hii, haiishi majabu. Utakuta hata wewe una familia inakutegemea!Minyukano hiyo inaendea! Mtakoma huku John Heche anataka kumuwekea Sumu Tundu Lissu Gerezani kule wanasambaratishwa.
View attachment 3531044
sarakasi na porojo zingine bana dahOfisi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imefuta uteuzi wa wenyeviti na makatibu wa kamati za kudumu za chama hicho, Kanda ya Nyasa.
Januari mosi, 2026 Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu alifanya uteuzi wa makatibu na wenyeviti wa kamati za kudumu wa kanda hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Sugu, viongozi walioteuliwa ni Fanuel Siame (mwenyekiti wa kamati ya fedha) na katibu wake ni Angumbwike Ntuli, kamati ya ilani itaongozwa na Leonard Fumbo na Elijah Simbeye (katibu).
Taarifa hiyo inaeleza kuwa, kamati ya mafunzo itaongozwa na Frank Nkana (mwenyekiti) na Emily Mwakilembe (katibu), kamati ya wagombea, Obadia Mwaipalu (mwenyekiti) na Neema Kasinge (katibu), kamati ya ujenzi, Bruce Nyamwangi (mwenyekiti) na Frank Kifunda (katibu).
Wengine ni kamati ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) mwenyekiti ni Daniel Naftari na Fikiri Zambi (katibu), kamati ya sheria na haki ya binadamu, mwenyekiti ni Fredrick Kihwelo na Irene Mhando (katibu) wakati kamati ya Chadema msingi itaongozwa na Pascal Haonga (mwenyekiti).
Hata hivyo, uteuzi huo, uliibua mvutano na kupingwa na baadhi ya wajumbe wa Kanda ya Nyasa walioandika barua ya malalamiko katika ofisi ya katibu mkuu wa Chadema, wakiitaka iingilie kati.
Na nyie wajahidina hamna sustainability hapa, maana tukichukua nchi safari sioni mjahidina mwingine kupenyeza. Na sijui mtaenda wapi, Tunisia walishasema mnaharibu demography!Punguza kujieleza sana andika comment fupi.
Mtakoma halafu huu uzi mbona hauna wachangiaji? Mnachungulia mnakimbia njooni hapa tuongee
Mbwa wa mama.Nyumbu bana
Hiki kweli chama cha kanisa tena TEC.Ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imefuta uteuzi wa wenyeviti na makatibu wa kamati za kudumu za chama hicho, Kanda ya Nyasa.
Januari mosi, 2026 Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu alifanya uteuzi wa makatibu na wenyeviti wa kamati za kudumu wa kanda hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Sugu, viongozi walioteuliwa ni Fanuel Siame (mwenyekiti wa kamati ya fedha) na katibu wake ni Angumbwike Ntuli, kamati ya ilani itaongozwa na Leonard Fumbo na Elijah Simbeye (katibu).
Taarifa hiyo inaeleza kuwa, kamati ya mafunzo itaongozwa na Frank Nkana (mwenyekiti) na Emily Mwakilembe (katibu), kamati ya wagombea, Obadia Mwaipalu (mwenyekiti) na Neema Kasinge (katibu), kamati ya ujenzi, Bruce Nyamwangi (mwenyekiti) na Frank Kifunda (katibu).
Wengine ni kamati ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) mwenyekiti ni Daniel Naftari na Fikiri Zambi (katibu), kamati ya sheria na haki ya binadamu, mwenyekiti ni Fredrick Kihwelo na Irene Mhando (katibu) wakati kamati ya Chadema msingi itaongozwa na Pascal Haonga (mwenyekiti).
Hata hivyo, uteuzi huo, uliibua mvutano na kupingwa na baadhi ya wajumbe wa Kanda ya Nyasa walioandika barua ya malalamiko katika ofisi ya katibu mkuu wa Chadema, wakiitaka iingilie kati.
Wamefutwa bila Rupia kutoa tamko? Habari nyingine....Ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imefuta uteuzi wa wenyeviti na makatibu wa kamati za kudumu za chama hicho, Kanda ya Nyasa.
Januari mosi, 2026 Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu alifanya uteuzi wa makatibu na wenyeviti wa kamati za kudumu wa kanda hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Sugu, viongozi walioteuliwa ni Fanuel Siame (mwenyekiti wa kamati ya fedha) na katibu wake ni Angumbwike Ntuli, kamati ya ilani itaongozwa na Leonard Fumbo na Elijah Simbeye (katibu).
Taarifa hiyo inaeleza kuwa, kamati ya mafunzo itaongozwa na Frank Nkana (mwenyekiti) na Emily Mwakilembe (katibu), kamati ya wagombea, Obadia Mwaipalu (mwenyekiti) na Neema Kasinge (katibu), kamati ya ujenzi, Bruce Nyamwangi (mwenyekiti) na Frank Kifunda (katibu).
Wengine ni kamati ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) mwenyekiti ni Daniel Naftari na Fikiri Zambi (katibu), kamati ya sheria na haki ya binadamu, mwenyekiti ni Fredrick Kihwelo na Irene Mhando (katibu) wakati kamati ya Chadema msingi itaongozwa na Pascal Haonga (mwenyekiti).
Hata hivyo, uteuzi huo, uliibua mvutano na kupingwa na baadhi ya wajumbe wa Kanda ya Nyasa walioandika barua ya malalamiko katika ofisi ya katibu mkuu wa Chadema, wakiitaka iingilie kati.
Ukute wametenguliwa kwa ushauri wa Padri KitimaOfisi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imefuta uteuzi wa wenyeviti na makatibu wa kamati za kudumu za chama hicho, Kanda ya Nyasa.
Januari mosi, 2026 Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu alifanya uteuzi wa makatibu na wenyeviti wa kamati za kudumu wa kanda hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Sugu, viongozi walioteuliwa ni Fanuel Siame (mwenyekiti wa kamati ya fedha) na katibu wake ni Angumbwike Ntuli, kamati ya ilani itaongozwa na Leonard Fumbo na Elijah Simbeye (katibu).
Taarifa hiyo inaeleza kuwa, kamati ya mafunzo itaongozwa na Frank Nkana (mwenyekiti) na Emily Mwakilembe (katibu), kamati ya wagombea, Obadia Mwaipalu (mwenyekiti) na Neema Kasinge (katibu), kamati ya ujenzi, Bruce Nyamwangi (mwenyekiti) na Frank Kifunda (katibu).
Wengine ni kamati ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) mwenyekiti ni Daniel Naftari na Fikiri Zambi (katibu), kamati ya sheria na haki ya binadamu, mwenyekiti ni Fredrick Kihwelo na Irene Mhando (katibu) wakati kamati ya Chadema msingi itaongozwa na Pascal Haonga (mwenyekiti).
Hata hivyo, uteuzi huo, uliibua mvutano na kupingwa na baadhi ya wajumbe wa Kanda ya Nyasa walioandika barua ya malalamiko katika ofisi ya katibu mkuu wa Chadema, wakiitaka iingilie kati.
Kama Falasi na masikini kama wew unayo na inakutegemea sembuse mimi?Dunia hii, haiishi majabu. Utakuta hata wewe una familia inakutegemea!
Bora kuwa masikini wa kipato Cha halali. Kuliko kuwa tajiri mla rushwa na chawaKama Falasi na masikini kama wew unayo na inakutegemea sembuse mimi?