CHADEMA yahamishiwa Ubelgiji na Mtandaoni

Umeongea kwa usahihi kabisa, kuondoka kwa Dr. Slaa na kushikiriwa bila kosa kwa Mbowe kumeifanya CHADEMA ife. Huu ndio ukweli mchungu. CHADEMA imebaki ya kimtandaoni kwa Lissu , Lema, MMM na Maria Sarungi. Hawa wote wananufaika
Kama CDM imekufa TLP na vingine kama hicho itasemwaje
 
Aisee, wewe hujui sababu ya haya yote.
Chanzo ni Dikteta Uchwara Magufuli na mama anatembea kwenye nyayo za Mwendazake.
Hapa ndio mnafeli, kutembea na vivuli vya marehemu. Mnafeli sana.
 
Ninapenda kwanza kutoa heshima zangu kwa Mheshimiwa Mbowe, aliyekuwa kizuizini, kwa kuonewa na bila kupewa haki yake kama sheria inavyosema.

Nikirudia mada yangu, hivi karibuni tumeona kuwa shughuli zote za hiki chama kikubwa cha upinzani zikihamishwa, kutoka mikoni mwa Ofisi zake za kisheria na mikononi mwa Viongozi wake, na kuhamishiwa kwa wale viongozi waliokimbia nchi kwa usalama wao, na pia kuweka makao makuu ya chama mitandaoni haswa kwenye kipindi cha MARIA SPACE.

Hili jambo linazungumzwa sana na limewabughudhi sana wengi wetu, kwani Chadema ni mali ya watanzania na kina manufaa kwa waliomo na wasiokuwemo, inaumiza kuona Chama kimetekwa Nyara.

Inashangaza sana kuona wale wazee muhimu na wenye busara wa CHADEMA, wamekaa kimya huku wakiona Chama kikiyumbayumba.
Na wewe pia badala ya kuthbitisha madai yako unataka kutuaminisha kuwa mawazo/fikira zako kuhusu Chadema ndiyo sahihi! Mimi nasubiri huo uthibitisho wako, otherwise you are committing a fallacy of 'argumentum ad populum' (an appeal to people to agree with you without justification).
 
Chama cha kipuuzi sana hiki wanashikiwa akili na Lema na Lissu wanajazana upepo tu huko Space
Usikonde bure. Sababu ni Chui Jike anatembea kwenye nyayo za Mwendazake.....!!
 
ACT inakuja kwa kasi na mipango thabiti. Wao wamebaki space za Maria kila siku. Hivi mwananchi wa kawaida wa Tandahimba asiyekuwa na pesa ya kula hayo mambo ya space anayajulia wapi? ACT wao wanaenda vijijini wanaibua changamoto za wananchi na kuzipazia sauti.
Tena naona unajiita PHD?Kama ACT inakuja kwa Kasi tatizo linakuwa wapi mbona vijana wa UVCCm mna Kama laana ivi yaani ata ushawishi kwa watu wa kawaida hamuwezi Sasa kwa taarifa ccm imekufa ili ujue imekufa nyie Uvccm daini Katiba mpya mkiweza kudai ntajua kweli cdm imekufa
 
Ninapenda kwanza kutoa heshima zangu kwa Mheshimiwa Mbowe, aliyekuwa kizuizini, kwa kuonewa na bila kupewa haki yake kama sheria inavyosema.

Nikirudia mada yangu, hivi karibuni tumeona kuwa shughuli zote za hiki chama kikubwa cha upinzani zikihamishwa, kutoka mikoni mwa Ofisi zake za kisheria na mikononi mwa Viongozi wake, na kuhamishiwa kwa wale viongozi waliokimbia nchi kwa usalama wao, na pia kuweka makao makuu ya chama mitandaoni haswa kwenye kipindi cha MARIA SPACE.

Hili jambo linazungumzwa sana na limewabughudhi sana wengi wetu, kwani Chadema ni mali ya watanzania na kina manufaa kwa waliomo na wasiokuwemo, inaumiza kuona Chama kimetekwa Nyara.

Inashangaza sana kuona wale wazee muhimu na wenye busara wa CHADEMA, wamekaa kimya huku wakiona Chama kikiyumbayumba.
Kwahiyo Chadema iliyolazimishwa kuhamia mahakamani wewe hauitambui!
 
Kwenye hili la website, nahisi ni ukata tuu, lakini Chadema ikitangaza inatafuta web admin wa kujitolea, naamini kuna vijana hundreds wenye mapenzi ya dhati na Chadema, watakuwa more than willing kujitolea kui run website ya Chadema free of charge!.
Na hapa sasa ndio unaona pengo la wazi la Chadema kutokuwa na Afisa Habari!.
cc. Makene
P
Very very true, I wonder kama kuna conspiracy hapa, maana this is unlike Chadema
 
Hiki kipindi kiko huru kwa watanzania wote, vyama vyote, dini zote na hata wasio na dini.

Ni swala la muda wako kujiunga na kushiriki mjadala wa mada husika kwa siku husika.
Apana hata kidogo, Hakiko kwa wote, wanaopewa muda ni watu wachache sana, na zaidi kinamilikiwa na Viongozi wa DIASPORA na wafuasi wao ( CHADEMA DIASPORA/REFUGEES )
 
Ninapenda kwanza kutoa heshima zangu kwa Mheshimiwa Mbowe, aliyekuwa kizuizini, kwa kuonewa na bila kupewa haki yake kama sheria inavyosema.

Nikirudia mada yangu, hivi karibuni tumeona kuwa shughuli zote za hiki chama kikubwa cha upinzani zikihamishwa, kutoka mikoni mwa Ofisi zake za kisheria na mikononi mwa Viongozi wake, na kuhamishiwa kwa wale viongozi waliokimbia nchi kwa usalama wao, na pia kuweka makao makuu ya chama mitandaoni haswa kwenye kipindi cha MARIA SPACE.

Hili jambo linazungumzwa sana na limewabughudhi sana wengi wetu, kwani Chadema ni mali ya watanzania na kina manufaa kwa waliomo na wasiokuwemo, inaumiza kuona Chama kimetekwa Nyara.

Inashangaza sana kuona wale wazee muhimu na wenye busara wa CHADEMA, wamekaa kimya huku wakiona Chama kikiyumbayumba.
Wewe ni miongoni mwa waliosisitiza kwamba Chadema imekufa , leo imekuwaje chama kikuu cha upinzani ?

Shujaa Jiwe mzalendo hakukimaliza hiki chama kwani ?
 
Ninapenda kwanza kutoa heshima zangu kwa Mheshimiwa Mbowe, aliyekuwa kizuizini, kwa kuonewa na bila kupewa haki yake kama sheria inavyosema.

Nikirudia mada yangu, hivi karibuni tumeona kuwa shughuli zote za hiki chama kikubwa cha upinzani zikihamishwa, kutoka mikoni mwa Ofisi zake za kisheria na mikononi mwa Viongozi wake, na kuhamishiwa kwa wale viongozi waliokimbia nchi kwa usalama wao, na pia kuweka makao makuu ya chama mitandaoni haswa kwenye kipindi cha MARIA SPACE.

Hili jambo linazungumzwa sana na limewabughudhi sana wengi wetu, kwani Chadema ni mali ya watanzania na kina manufaa kwa waliomo na wasiokuwemo, inaumiza kuona Chama kimetekwa Nyara.

Inashangaza sana kuona wale wazee muhimu na wenye busara wa CHADEMA, wamekaa kimya huku wakiona Chama kikiyumbayumba.
Hahahaaaa ndugu shituka mapemahicho siyo cham cha wananchi ni saccos ya mtu nduguyangu analoamua ndilo linafanywa ni matapeli wa siasa tu hao lawama kila siku
 
Ninapenda kwanza kutoa heshima zangu kwa Mheshimiwa Mbowe, aliyekuwa kizuizini, kwa kuonewa na bila kupewa haki yake kama sheria inavyosema.

Nikirudia mada yangu, hivi karibuni tumeona kuwa shughuli zote za hiki chama kikubwa cha upinzani zikihamishwa, kutoka mikoni mwa Ofisi zake za kisheria na mikononi mwa Viongozi wake, na kuhamishiwa kwa wale viongozi waliokimbia nchi kwa usalama wao, na pia kuweka makao makuu ya chama mitandaoni haswa kwenye kipindi cha MARIA SPACE.

Hili jambo linazungumzwa sana na limewabughudhi sana wengi wetu, kwani Chadema ni mali ya watanzania na kina manufaa kwa waliomo na wasiokuwemo, inaumiza kuona Chama kimetekwa Nyara.

Inashangaza sana kuona wale wazee muhimu na wenye busara wa CHADEMA, wamekaa kimya huku wakiona Chama kikiyumbayumba.
Sasa kama waziri wa mambo ya ndani anaapa kuwa vyama visiruhusiwe kufanya siasa. UnawalaumuJe Cdm ?!
 
Ninapenda kwanza kutoa heshima zangu kwa Mheshimiwa Mbowe, aliyekuwa kizuizini, kwa kuonewa na bila kupewa haki yake kama sheria inavyosema.

Nikirudia mada yangu, hivi karibuni tumeona kuwa shughuli zote za hiki chama kikubwa cha upinzani zikihamishwa, kutoka mikoni mwa Ofisi zake za kisheria na mikononi mwa Viongozi wake, na kuhamishiwa kwa wale viongozi waliokimbia nchi kwa usalama wao, na pia kuweka makao makuu ya chama mitandaoni haswa kwenye kipindi cha MARIA SPACE.

Hili jambo linazungumzwa sana na limewabughudhi sana wengi wetu, kwani Chadema ni mali ya watanzania na kina manufaa kwa waliomo na wasiokuwemo, inaumiza kuona Chama kimetekwa Nyara.

Inashangaza sana kuona wale wazee muhimu na wenye busara wa CHADEMA, wamekaa kimya huku wakiona Chama kikiyumbayumba.
JIFANYA ZOMBI TU.. umesahau ANC walitafuta uhuru wa nchi yao wakiwa nnje ya nchi yao na wengi walikuwa hapahapa TZ tukiwasadia kujitoa kwenye makucha ya wakoloni hivo acha kujizombika acha akili za LUMUMBA zisikutawale ubongo wako
 
Hata huko kwenye mtandao wa Maria space, wana ccm wamewafuata huko huko na wamevurugana wao kwa wao. Kwenye hiyo mitandao CDM imebakiza watu watatu tu ambao ni Lissu, Lema na Heche tu. Watu kama akina Msigwa na Sugu walishajitoa.

Hiyo ndiyo namna chadema ilivyokufa.
 
JIFANYA ZOMBI TU.. umesahau ANC walitafuta uhuru wa nchi yao wakiwa nnje ya nchi yao na wengi walikuwa hapahapa TZ tukiwasadia kujitoa kwenye makucha ya wakoloni hivo acha kujizombika acha akili za LUMUMBA zisikutawale ubongo wako
Ndugu Siasa ni akili, hebu rudia ulichoandika. ANC walikuwa hawaruhusiwi hata kuwa wanachama wa chama cha kisiasa, Chadema kina Maofisi yake viongozi wake kila mkoa, Iko tofauti kubwa sana kati ya CDM na ANC. Hata wewe ni mwanaCDM lakini hakuna anyekukatalia kushabikia chama chako.
 
Back
Top Bottom