Mkuu
Mkirindi, kumbe na wewe uko kundi langu la wazee wa mwaka 47! Dunia sasa imeshift kutoka physical world kwenda cyber world, hivyo kila kitu sasa ni kimehamia mitandaoni, hivyo Chadema are right, ila wanapaswa kuanzisha its own space. Jana nilitembelea web site ya Chadema,
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo- Official Website nilikuta last update ya habari ilifanywa November 2019! sasa kila kitu ni kwa twitter tuu!. This is wrong!
Kwa vile sasa kila kitu kimehamia mitandaoni, na chadema kinajingamba kwa matumizi ya mitandao, then kitu cha kwanza tulitegemea kuona Chadema inafanya ni kuwa na website live interactive, ukiingia tuu unakuta kila kitu!
P