CHADEMA yahamishiwa Ubelgiji na Mtandaoni

ACT ni tawi la CCM wanaweza kwenda popote bila bugudha, cdm wakithubutu kwenda kwa watu na kuibua shida zao, watakamatwa na kuambiwa wanaleta uchochezi. Utasikia viongozi wa maeneo husika wakisema cdm waache kuleta siasa kwenye kila jambo, na waache waliochaguliwa wawatumikie wa kwani huu sio muda wa kampeni.
 
JIFANYA ZOMBI TU.. umesahau ANC walitafuta uhuru wa nchi yao wakiwa nnje ya nchi yao na wengi walikuwa hapahapa TZ tukiwasadia kujitoa kwenye makucha ya wakoloni hivo acha kujizombika acha akili za LUMUMBA zisikutawale ubongo wako
Sasa wale walikuwa wanatafuta uhuru ila hawa wanatakakufanya uhuni tu
 
Sindo vizuri,CCM 2025 watapata kura za kutosha, Chadema kimekufa,,,,,furahi Sasa[emoji1]
 
Akili zako zikirudi utajitambua
 



Ruhusini mikutano ya hadhara alafu muone kama watu watakwenda kwenye space. Mikutano ya ndani tu mnawaingilia, wamekwenda kwenye space inakuwa nongwa. MNATAKA WAKAE KIMYA?
 
Hili sahihi kbs!
 
You bear eyes but not the sight, as a blind fellow who says: "I see". "Walioko Ubelgigi na mitandaoni siyo wanachama vile?"
 
Sindo vizuri,CCM 2025 watapata kura za kutosha, Chadema kimekufa,,,,,furahi Sasa[emoji1]
Kila kipindi kina zama yake. Hivi vyama vyote huja na baadaye hupita/hufa. Kulikuwa na zama za NCCR miaka ya 1990s chini ya Mrema, ilitikisa sana kama chama kikuu cha upinzani. Zama zake zikapita. Ikaja zama za CUF miaka ya 2000s ikajizolea wabunge wengi sana hadi kuunda kambi yake rasmu ya upinzani. Zama zake zikapita. Zikaja zama za CHADEMA miaka ya 2010s nayo ikawa kambi rasmu ya upinzani baada ya kujizolea wabunge wengi kwa jotihada za Padri Dr Silaa. Nayo zama zake zimeshapita. Sasa hivi hakuna kambi rasimu ya upinzani ila ACT angalao ina wabunge takribani 10 wakati CDM wana zero. Matarajio ACT itakuwa kambi rasmu ya upinzani ifikapo 2025 au 2030.

Hiyo ndiyo nature ya vyama vya siasa. Hakuna kinachoishi milele. Hata CCM zama zake zitapita. Inatarajiwa miaka ya2050s zama za CCM nazo zitafika mwisho. Hayo ndiyo maisha. Hakuna haja ya kuendelea kulilia kitu kilichopita/ kichokufa. Maisha lazima yaendelee. Wahenga walisema yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
 
Absolutely true mkuu Paskali.
 
Makao makuu ya ANC ya Afrika Kusini yalikuwa Tanzania, makao makuu ya FRELIMO yalikuwa Tanzania na Uhuru ulipatikana.
 
Sasa CCM mpewe nini mridhike? Hamna pema kabisa. Mliiona chadema tishio, mkatumia dola kujaribu kuwanyamazisha. Wamekaa pembeni, wakawaacha mfanye mnavyotaka, viongozi wake kede kede mkawatengenezea kesi za uongo, na wengine mkawapa kesi za ugaidi ili wasiwepo uraiani wakiwabughudhi. Bado mnachonga tu. Aisee, MaCCM hadi ibilisi atawashangaa!
 
Pamoja na hayo yote, bana wanakunyima raha, wanakupa hofu.
 
Makao makuu ya ANC ya Afrika Kusini yalikuwa Tanzania, makao makuu ya FRELIMO yalikuwa Tanzania na Uhuru ulipatikana.
Uliowataja makao makuu yao yalikuwa Tanzania kwakuwa hawakuruhusiwa kuwa na ofisi huko kwao.

Inawezekana wakati wa Magufuli maisha ya Lema yalikuwa hatarini akiwa Tanzania. Don't tell me that Lema akiamua kurudi nyumbani leo maisha yake yatakuwa hatarini.

These fellows are riding on the backs of fools like you.
 
Mtabakia kusema hive wensen wanafanya siasa za masuala nyie mnafanya siasa za face book.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…