Uchaguzi 2020 CHADEMA yailaumu NEC kwa vifo vya mawakala watano wa chama hicho

Uchaguzi 2020 CHADEMA yailaumu NEC kwa vifo vya mawakala watano wa chama hicho

..Very sad.

..Tume ya Uchaguzi wajitafakari.

..Figisu-figusi zote hizi ni kwa faida ya nani?

..Tume haipaswi kuwa kikwazo kwa wagombea na wapigakura kushiriki uchaguzi.

Huo uhuni ndio utakaofanyika hata siku ya kupiga kura kwani mawakala hasa wa cdm watapangiwa vitu vya mbali ili wachelewe kufika vituoni. Sijui Sheria inasema nini kuhusu wakala kujua kituo chake mapema.
 
Ukishampata mtu wa kumbebesha lawama hata kwa ujinga wako mwenyewe uwezo wako wa kufikiri unakuwa kwenye autopilot mode.
 
Wawakilishi wa Tume ya Uchaguzi wa eneo hilo ndio waliosababisha vifo hivi. Damu za marehemu ziwe juu ya vichwa vyao na familia zao na vimada wao!

Hatua za haraka zichukuliwe ili kudhibitii tukio kama hili lisijirudie na asije asitokea Aaron Kagurumjuli mwingine atakayesababisha kifo cha Akwilina mwingine!
 
Sikubali....! , Katibu Mkuu Kabisa wa Chama ndo kayasema hayo? Yaani ajali hiyo wa kulaumiwa ni Tume...!! Katibu wangu hawezi kuwa na upeo finyu namna hii....!
Mnyika alifeli shuleni hivyo usishangae kuyasema hayo!
 
Chukua, weka, waaa. Tanzania ya kijani inakuja. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM.
IMG_20201020_161433_488.jpg
 
Kuna watu wamekua kama wajinga logic iko wapi sasa hapo? Kwao kua mawakala ni bora kuliko uhai wao mbona unawakashifu Marehemu?
 
Kweli chadema ni vilaza na mbumbumbu, ajali ya gari unailaumu tume ya uchaguzi!!! Kweli abongo wa viongozi wa saccos wanajua wenyewe unakaa wapi ila si kichwani, maybe ipo kwenye kiungo pendwa, sio kwa comedy hii [emoji16][emoji23][emoji848]
Na yule unamweka kundi gani, aliyepata ajali baada ya kutibiwa na kupona akapereka shukran ikulu badala ya kuwashukuru manesi na madaktari
 
Na yule unamweka kundi gani, aliyepata ajali baada ya kutibiwa na kupona akapereka shukran ikulu badala ya kuwashukuru manesi na madaktari
Bora huyo kuliko hao viongozi mbumbumbu wa saccos anae ilaumu tume kwa ajali ya gari, vituko vya wanasaccos ni shida [emoji16][emoji23]
 
Mnyika amejaa kamasi kichwani, no busara. Chadema mtavuna mlichopanda kampeni zenu mmejipambanua kuwa madalali wa mali za nchi hii, huyo bwege wenu anayexunguka na airticket yenye OK reconfirmed ataondolewa kama MIGUNA MIGUNA. NGOJA TUMALIZE HAKA KAUCHAGUXI BANA.Yaani mmejificha kwa mgongo wa mabeberu kiivo
 
Back
Top Bottom