Uchaguzi 2020 CHADEMA yailaumu NEC kwa vifo vya mawakala watano wa chama hicho

Uchaguzi 2020 CHADEMA yailaumu NEC kwa vifo vya mawakala watano wa chama hicho

Ninasikitika kwa walioshindwa kumuelewa Mnyika kwamba ajali isingetokea kama wangeapishiwa kwenye kituo kilichotajwa kabla. Maana kitendo cha kubadilishiwa route na kuwahi ili kukidhi matakwa ndo kimesababisha hayo yaliyotokea.
Kilichosemwa kimeeleweka......isipokuwa sie wengine hatuamini kama ni yeye kasema watakuwa 'wanamsingizia' sababu accident ni accident tu, mbona wengine wamefika salama? Kama kweli kasema basi kuna shida......!
 
Sikubali! Katibu Mkuu Kabisa wa Chama ndo kayasema hayo? Yaani ajali hiyo wa kulaumiwa ni Tume...!! Katibu wangu hawezi kuwa na upeo finyu namna hii!
Huwenda wewe ukawa na upeo finyu ndugu
Imagine mmefika tayari sehemu ambayo ilibidi muapishwe hapo lakini mkaambiwa hamtaapishwa hapa inabidi muende sehemu Fulani ambapo ni mbali na muda ni mfupi kulingana na safari mnayoenda
Na ukiangalia hakuna hata sababu za msingi ni kutapatapa tu kwa wafa maji
Matokeo ndiyo hapo
Kama una akili ni nani wa kulaumu?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Daaah huu ujinga ni wakiwango cha juu sana, Tume inahusikaje na kifo Cha watu kilichosababishwa na mwendokasi, huku dereva akiwa si mzoefu?
 
Duuuu

Mnyika ukiwa unataka kuongea na Taifa hakikisha umemeza dawa zako na umepata mda wa kupumzika vinginevyo unajidhalilisha na unakidhalilisha chama. Tume imesababisha ajali!
wewe umemeza dawa kabla ya kujibu?mbona wewe unaonekana mgonjwa?
 
Tundu Lissu atoa tamko: Figisu za uchaguzi zimeanza, Mawakala wa CHADEMA wakataliwa kuapishwa 21/10/2020​

Tundu Lissu afafanua lazima wasimamizi wa uchaguzi wazingatie Kifungu cha 7.4 Kanuni kuhusu mawakala wa wagombea wa vyama baada ya kujaza fomu namba 6 zinasema ngazi ya Kata inaweza kufanya zoezi la kuapisha na siyo lazima ifanyike ktk ngazi ya mkurugenzi

Hakika Lissu ni akili kubwa!
 
Poleni sana makamanda! Pole nyingi kwa ndugu, jamaa na familia za marehemu!
Mwenyezi Mungu azilaze roho za wapambanaji hao pahala pema peponi!
Tutawakumbuka daima kama sehemu ya mashujaa wetu wa uchaguzi wa mwaka huu!
 
Naungana na wenzangu kutoa pole nyingi Sana kwa wafiwa ,Mungu awarehemu.
Kwa taarifa za walioshuhudia gari aina ya noa wanasema ilikuwa speed hatari kiasi kwamba watu walikuwa wanapigwa butwaa na kukaa pembeni ili wapite.Huu utaratibu wa NEC sio sawa tayari chadema imepoteza kura zaidi ya 10 hapo,so sad
 
Duuuu

Mnyika ukiwa unataka kuongea na Taifa hakikisha umemeza dawa zako na umepata mda wa kupumzika vinginevyo unajidhalilisha na unakidhalilisha chama. Tume imesababisha ajali!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So wewe umeelewa hivyo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ccm bhana, eti na huyu wanamlipa

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Duuuu

Mnyika ukiwa unataka kuongea na Taifa hakikisha umemeza dawa zako na umepata mda wa kupumzika vinginevyo unajidhalilisha na unakidhalilisha chama. Tume imesababisha ajali!
Mgombea wenu haendi sehemu ambayo haina internet...maana moyo wake unakuwa oparated from outside....mkumbushe abebe feni
 
Sikubali! Katibu Mkuu Kabisa wa Chama ndo kayasema hayo? Yaani ajali hiyo wa kulaumiwa ni Tume...!! Katibu wangu hawezi kuwa na upeo finyu namna hii!
Lakini Katibu analaumu pia na miundombinu ya barabara kuwa mibovu. Asisahau pia kwamba Chadema hatuhitaji maendeleo ya vitu tunataka maendeleo ya watu.
 
Back
Top Bottom