SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
CCM ni mataahirachadema ni Watoto, unategemea nini kutoka kwa Mtoto? Kila kitu siyo kosa lake, cha muhimu ni kuwachukulia kama walivyo na kuwaacha kwani wengi wao ni failure hata kwenye maisha yao binafsi, ...
View attachment 1607602
Wewe unamuona yuko sawa! Gonjwa la muda mrefu hiloAmeze dawa kwani mgonjwa?!
..Very sad.
..Tume ya Uchaguzi wajitafakari.
..Figisu-figusi zote hizi ni kwa faida ya nani?
..Tume haipaswi kuwa kikwazo kwa wagombea na wapigakura kushiriki uchaguzi.
Yaani kwa kweli kuna vyama vingine ni kero kabisaBaada ya kifo mchawi hutaftwa.
Ficha ujinga wakoDuuuu
Mnyika ukiwa unataka kuongea na Taifa hakikisha umemeza dawa zako na umepata mda wa kupumzika vinginevyo unajidhalilisha na unakidhalilisha chama. Tume imesababisha ajali!!
Mnyika alifeli shuleni hivyo usishangae kuyasema hayo!Sikubali....! , Katibu Mkuu Kabisa wa Chama ndo kayasema hayo? Yaani ajali hiyo wa kulaumiwa ni Tume...!! Katibu wangu hawezi kuwa na upeo finyu namna hii....!
Ni kweli ushauri mzuri.Duuuu
Mnyika ukiwa unataka kuongea na Taifa hakikisha umemeza dawa zako na umepata mda wa kupumzika vinginevyo unajidhalilisha na unakidhalilisha chama. Tume imesababisha ajali!!
Mchawi huwa hachelewi kufika msibaniAlafu utawasikia nao wakitoa pole!
Na yule unamweka kundi gani, aliyepata ajali baada ya kutibiwa na kupona akapereka shukran ikulu badala ya kuwashukuru manesi na madaktariKweli chadema ni vilaza na mbumbumbu, ajali ya gari unailaumu tume ya uchaguzi!!! Kweli abongo wa viongozi wa saccos wanajua wenyewe unakaa wapi ila si kichwani, maybe ipo kwenye kiungo pendwa, sio kwa comedy hii [emoji16][emoji23][emoji848]
Bora huyo kuliko hao viongozi mbumbumbu wa saccos anae ilaumu tume kwa ajali ya gari, vituko vya wanasaccos ni shida [emoji16][emoji23]Na yule unamweka kundi gani, aliyepata ajali baada ya kutibiwa na kupona akapereka shukran ikulu badala ya kuwashukuru manesi na madaktari