Uchaguzi 2020 CHADEMA yailaumu NEC kwa vifo vya mawakala watano wa chama hicho

Kweli chadema ni vilaza na mbumbumbu, ajali ya gari unailaumu tume ya uchaguzi!!! Kweli abongo wa viongozi wa saccos wanajua wenyewe unakaa wapi ila si kichwani, maybe ipo kwenye kiungo pendwa, sio kwa comedy hii [emoji16][emoji23][emoji848]
Sheria ya uchaguzi inasema mawakala wanaweza kuapishwa na watendaji wa vijiji na ndio hufanyika hivyo chaguzi zote kama NEC isingetangaza mawakala kwenda kuapishwa na wakurugezi hao mawakala wangepata ajali?
 
Ninasikitika kwa walioshindwa kumuelewa Mnyika kwamba ajali isingetokea kama wangeapishiwa kwenye kituo kilichotajwa kabla. Maana kitendo cha kubadilishiwa route na kuwahi ili kukidhi matakwa ndo kimesababisha hayo yaliyotokea.
Hapo ndipo wengi wanao comment hapa, wameshindwa kuielewa hiyo Logic. Katika maisha mambo mengi yanatokea, lakini kuna sababu zinazosababisha kutokea. Thinking logically helps one to understand the reasons behind.
 
Sheria ya uchaguzi inasema mawakala wanaweza kuapishwa na watendaji wa vijiji na ndio hufanyika hivyo chaguzi zote kama NEC isingetangaza mawakala kwenda kuapishwa na wakurugezi hao mawakala wangepata ajali?

Ukweli ndiyo huo kwamba kulingana na sheria/Kanuni za Uchaguzi MAWAKALA WANATAKIWA KUAPISHWA NA WASAIDIZI WA WASIMAMIZI(WATENDAJI KATA/VIJIJI)!!
Lakini kwa vile SERIKALI YA CCM WANATAKA KUITAWALA TANZANIA KIUJANJA UJANJA NA KULAZIMISHA WANATUMIA MBINU CHAFU KUHAKIKISHA CHADEMA, ACT WAZALENDO WANAKOSA WAKALA ili wapate nafasi ya KUIBA na KUCHAKACHUA KURA!!!
 
Mbona hamkutoa namba zao watanzania wakawachangia rambirambi - lkn pia ingefahamika idadi ya wategemezi wao na kuona jinsi ya kuwasaidia (hao ni wafia haki)
 
NEC ya hovyo kabisa
 
Tume hii italeta vurugu kwa kuwa haitendi haki kwa vyama pinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…