Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ewe Mfanyakazi wa Umma uliyewekewa Kikokotoo Chadema haijakutupa, huu ni wakati wako wa kuhakikisha jambo hilo linaondolewa kabisa ili isiwe chanzo cha kifo chako baada ya Kustaafu.
Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani hii hapa
Changia Mabadiliko ili kuondoa Vifo vya ghafla, Hakuna kifo ambacho ni Mpango wa Mungu vyote huletwa na Shetani na Mawakala wake
Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani hii hapa
Changia Mabadiliko ili kuondoa Vifo vya ghafla, Hakuna kifo ambacho ni Mpango wa Mungu vyote huletwa na Shetani na Mawakala wake