Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Naijuaaa hioooooo MAALUMEwe Mfanyakazi wa Umma uliyewekewa Kikokotoo Chadema haijakutupa, huu ni wakati wako wa kuhakikisha jambo hilo linaondolewa kabisa ili isiwe chanzo cha kifo chako baada ya Kustaafu.
Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani hii hapa
View attachment 3247992
Changia Mabadiliko ili kuondoa Vifo vya ghafla, Hakuna kifo ambacho ni Mpango wa Mungu vyote huletwa na Shetani na Mawakala wake
Mmeamnza kutembexaa.....