Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ewe mstaafu ukifa kwa njaa watasema hiyo ni kazi ya Mungu, huo ni uongoKikapu
Vyama vyote duniani vinachangiwa na Wanachama na serikalii ukagua vyanzo vyake vya mapato pamoja na ruzuku. Tofauti na CCM wanaibia wananchi na kuwadhulum, mfano wamepora viwanja vyote vya michezo na kufanya mali zao wakati ni mali ya umma. Wakadhulum kituo cha habari Channel Ten wakasema chao. CHADEMA WAPO SAWA.Kikapu
Asipoelewa hapa basi atakuwa hana ubongoVyama vyote duniani vinachangiwa na Wanachama na serikalii ukagua vyanzo vyake vya mapato pamoja na ruzuku. Tofauti na CCM wanaibia wananchi na kuwadhulum, mfano wamepora viwanja vyote vya michezo na kufanya mali zao wakati ni mali ya umma. Wakadhulum kituo cha habari Channel Ten wakasema chao. CHADEMA WAPO SAWA.
Dadeki nitachanga mpaka machawa wa ccm wafe midomo waziEwe Mfanyakazi wa Umma uliyewekewa Kikokotoo Chadema haijakutupa, huu ni wakati wako wa kuhakikisha jambo hilo linaondolewa kabisa ili isiwe chanzo cha kifo chako baada ya Kustaafu.
Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani hii hapa
View attachment 3247992
Changia Mabadiliko ili kuondoa Vifo vya ghafla, Hakuna kifo ambacho ni Mpango wa Mungu vyote huletwa na Shetani na Mawakala wake
Kabisa Yaani!No reforms no uchaguzi
Kwa mfano, Chadema wamekupiga nini?kiujumla wote ni wapigaji...sisi emu chaha dehema wote wapigaji, kahera kangu nitaenda kumpa masikini mwenzangu wao wapambane wenyewe huko juu,,,,
Nayo ni sadaka ukiamua hivyo , kaa kwa kutuliakiujumla wote ni wapigaji...sisi emu chaha dehema wote wapigaji, kahera kangu nitaenda kumpa masikini mwenzangu wao wapambane wenyewe huko juu,,,,
hapo kwenye majibu yangu hakuna neno chademaKwa mfano, Chadema wamekupiga nini?
Inabidi ueleweshwe,maana baadhi yenu huchukua muda,kung'amua baadhi ya mambo.hapo kwenye majibu yangu hakuna neno chadema
Fanyeni kazi acheni utapeliEwe Mfanyakazi wa Umma uliyewekewa Kikokotoo Chadema haijakutupa, huu ni wakati wako wa kuhakikisha jambo hilo linaondolewa kabisa ili isiwe chanzo cha kifo chako baada ya Kustaafu.
Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani hii hapa
View attachment 3247992
Changia Mabadiliko ili kuondoa Vifo vya ghafla, Hakuna kifo ambacho ni Mpango wa Mungu vyote huletwa na Shetani na Mawakala wake
upo sahihi kiongozi...nhahahah, tunaitwa vichwa chumaInabidi ueleweshwe,maana baadhi yenu huchukua muda,kung'amua baadhi ya mambo.
Yeah! almaarufu IRON BOYS/GIRLS. Dadeki,ni noma...upo sahihi kiongozi...nhahahah, tunaitwa vichwa chuma
Tulijua kikoba kiliondoka na Mbowe kumbe bado mwendo ni wa tonya mwisho wa siku zikiliwa sio mimi muulize aliyeanzisha!Ewe Mfanyakazi wa Umma uliyewekewa Kikokotoo Chadema haijakutupa, huu ni wakati wako wa kuhakikisha jambo hilo linaondolewa kabisa ili isiwe chanzo cha kifo chako baada ya Kustaafu.
Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani hii hapa
View attachment 3247992
Changia Mabadiliko ili kuondoa Vifo vya ghafla, Hakuna kifo ambacho ni Mpango wa Mungu vyote huletwa na Shetani na Mawakala wake
Kuchangia chama cha upinzani siyo shida tatizo ni kwamba vyama vyote Tz na hasa cdm ni mamluki wa ccm na familia zao ndiyo maana hakuna mtoto wa viongozi wa vyama vya upinzani anasoma shule za kayumba,kama wanataka kutukomboa waanze na kujishusha kimaisha tuwe sawa siyo kulala na kumiliki mahotel na majumba ya kifahari huku tunaochanga tunalala kwenye matembele.Vyama vyote duniani vinachangiwa na Wanachama na serikalii ukagua vyanzo vyake vya mapato pamoja na ruzuku. Tofauti na CCM wanaibia wananchi na kuwadhulum, mfano wamepora viwanja vyote vya michezo na kufanya mali zao wakati ni mali ya umma. Wakadhulum kituo cha habari Channel Ten wakasema chao. CHADEMA WAPO SAWA.