CHADEMA yaingia NMB, Ni rahisi sana kuchangia, fanya hivi na Mungu atakubariki sana

Ukifa ujue Mungu ndio ameruhusu, Mungu asiporuhusu hata huyo shetani na hao mawakala wake hawawezi kukuua
 
Ukifa ujue Mungu ndio ameruhusu, Mungu asiporuhusu hata huyo shetani na hao mawakala wake hawawezi kukuua
 
Kwahiyo hela yangu iliyopitiwa na kikokotoo nitoe niwachangie tena na nyie?
 
NAWAASA WATANZANIA WASICHANGIE HATA MIA ZAO, KWANZA WAHOJI MATUMIZI YA MICHANGO YA AWALI, CDM NI TAASISI, NA TAASISI HUWA NA MUHASIBU, BASI NI HEKIMA TUKAPATA TAARIFA ZA MAPATO NA MATUMIZI YA TAASISI HIYO, FEDHA ZETU ZINA THAMANI KUBWA SANA
 
Ulihudhuria Vikao vya Chadema, maana kila kitu kimewekwa wazi kuhusu hilo
 
nadhani, yatupasa kuchangia. umoja ni nguvu, tusipoiunga mkono chadema hakuna hama kingine nchini cha kuwasemea wananchi, vingine vyote vipo mfukoni na vinapokea perdiem.
 
Ahahahahaha! Hata hicho kikokotoo mnachokililia kiliwekwa na Serikali ya CCM. Hapo ndio utajua CCM ni baba lao!
 
Sijaelewa mantiki.....kwamba wanataka kwa ajili ya nauli au facilitation ta vikao au nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…