Naijuaaa hioooooo MAALUMEwe Mfanyakazi wa Umma uliyewekewa Kikokotoo Chadema haijakutupa, huu ni wakati wako wa kuhakikisha jambo hilo linaondolewa kabisa ili isiwe chanzo cha kifo chako baada ya Kustaafu.
Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani hii hapa
View attachment 3247992
Changia Mabadiliko ili kuondoa Vifo vya ghafla, Hakuna kifo ambacho ni Mpango wa Mungu vyote huletwa na Shetani na Mawakala wake
Nahisi itafanya figisu tuWapenzi/Wenye Nia Njema Watachanga Kwa Moyo Mkunjufu Sana
Mwendo Wa Ngiri Mkia Juu Sana Kutoa Michango
CCM Itanuna Sasa Hivi
Uliposema wote ni wezi ulimaanisha ccm na act au sio?hapo kwenye majibu yangu hakuna neno chadema
Are you Muslim??kiujumla wote ni wapigaji...sisi emu chaha dehema wote wapigaji, kahera kangu nitaenda kumpa masikini mwenzangu wao wapambane wenyewe huko juu,,,,
Saccos!Karibu sana