Chadema yaipongeza Taifa Stars kwa kufuzu AFCON 2019

Chadema yaipongeza Taifa Stars kwa kufuzu AFCON 2019

Kinachoshangaza ni ninyi kutaka/kulazimisha mawazo yenu ndio yawe ya jamii yote.

Tumetaka kulazimisha wapi? Wapi umeona wapinzani wakitumia vyombo vya kimamlaka kupata ushawishi zaidi ya kujenga ushawishi wa hoja? Umewahi kuona wapi wapinzani wakifanya mkusanyiko wakatoa vitisho vya yule ambaye hatahudhuria atachukuliwa hatua? Huku jukwaani ni eneo huru sio eneo la kulazimishana, labda kama hujui maana ya kulazimisha.
 
Kama mlijua hawana mchango wowote zile dua mbaya dhidi ya Tanzania zilikua za nini?Sema saiz mnatapatapa tu

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Wakikujibu nitag mkuu
 
Yani ukiwa unashinda Jf na hujiongezi unaweza sema Taifa limesimama na mda wowote kutaibuka vita. Before mechi walitukana na sana na kuhamasishana wasiende uwanjani. Walikua wanashabikia Uganda na Lesotho, baada ya kuumbuka wanakuja na vi nyuzi uchwara kujifanya nao wamefurahi ushindi.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Yaani ilikuwa ukisoma nyuzi zao jinsi wanavyokashifu na kuombea mabaya Taifa stars huwezi kuamini kama ni Watanzania kweli
 
Mkiwa na kiongozi mkuu ambaye hataki siasa anataka kazi tu ,mambo yote hubadilika kutoka juu mpaka chini ,tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na baadhi ya wasomi hasa Chadema kwamba rais hata akiwa mwizi ,mvivu mzururaji mambo yataenda tu kisa eti urais ni taasisi?

Asante Taifa stars, Simba na bondia Mwakinyo

Asante kasi ya Rais Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Timu 24 zinazoqualify imetubeba..hata miaka ya nyuma ingekuwa hivi tungekuwa tumefuzu..
 
Back
Top Bottom