sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,612
- 2,156
Nyum.bu mlikua waganda jana, huto tu pongezi uchwara kawapeni waganda.Wewe ndo shetani mkubwa tena mwenye mapembe!
Pongezi za CHADEMA zinaonesha UZALENDO wa kweli! Siyo mijitu ya CCM inakuja kumsifia RC Makonda utafikiri yeye ndo kafunga magoli yote.....huo ni UNAFIKI uliopitiliza.....!!!
Sasa kama wengine hawaoni hivyo unashangaa nini sisi wengine tukiona tofauti na hao watu?
Nyie mnaompongeza Makonda badala ya John Boko ndo wenye akili.CHADEMA acheni unafiki, nyie si ndio mliokuwa mnaiombea Taifa Stars ifungwe na kumbeza Makonda Kuhamasisha Watu Waende Uwanjan? Mashetani Wakubwa Nyie
Kinachoshangaza ni ninyi kutaka/kulazimisha mawazo yenu ndio yawe ya jamii yote.
Haya basii uerevu ni kudhani timu ya taifa ni mali ya chadema. Shangilia sasaHukutuona Chadema pale uwanjani ? ujinga ni kudhani timu ya Taifa ni mali ya ccm
Wakikujibu nitag mkuuKama mlijua hawana mchango wowote zile dua mbaya dhidi ya Tanzania zilikua za nini?Sema saiz mnatapatapa tu
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Yaani ilikuwa ukisoma nyuzi zao jinsi wanavyokashifu na kuombea mabaya Taifa stars huwezi kuamini kama ni Watanzania kweliYani ukiwa unashinda Jf na hujiongezi unaweza sema Taifa limesimama na mda wowote kutaibuka vita. Before mechi walitukana na sana na kuhamasishana wasiende uwanjani. Walikua wanashabikia Uganda na Lesotho, baada ya kuumbuka wanakuja na vi nyuzi uchwara kujifanya nao wamefurahi ushindi.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Timu 24 zinazoqualify imetubeba..hata miaka ya nyuma ingekuwa hivi tungekuwa tumefuzu..Mkiwa na kiongozi mkuu ambaye hataki siasa anataka kazi tu ,mambo yote hubadilika kutoka juu mpaka chini ,tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na baadhi ya wasomi hasa Chadema kwamba rais hata akiwa mwizi ,mvivu mzururaji mambo yataenda tu kisa eti urais ni taasisi?
Asante Taifa stars, Simba na bondia Mwakinyo
Asante kasi ya Rais Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app