Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Machozi ya mamba. We unafurahia nini Mdee kuwa bungeni wakati ushindi wenu ni halali?Bawacha wamepeleka tayari akina Mdee na Bulaya. Nyinyi mlie tu! Mnachezeshwa kama mazezeta!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machozi ya mamba. We unafurahia nini Mdee kuwa bungeni wakati ushindi wenu ni halali?Bawacha wamepeleka tayari akina Mdee na Bulaya. Nyinyi mlie tu! Mnachezeshwa kama mazezeta!
Kuna mtu anaitwa Halima Mdee, labda naye aikimbie nchi...nampenda sana huyu mdada.
Majina gani yamepelekwa ICC? Au na wewe unacheza ngonjera za mary sarungi?Safi sana chadema. Mahera jina lake liongezwe ICC. Huyu fala ni kama mchepuko wa mhutu. Hana akili na hajiongezi.
Unavochekelea utafikiri hilo spana la EU wewe litakukosa [emoji28][emoji28][emoji56]They play creche game during Election ...sasa inawa cost Dunia Kijiji hujengwa na wote...dadadeki kwa mbaaliii Li-Supana la EU hilooo...
nashangaa kwa nini walazimishe kupata wabunge wacdm wapingaji wangekuwa wao tu ingekuwa vizuri sana ushindi wa 94% ni mzuri sanaTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufafanua kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu kauli ya upotoshaji iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera kupitia mojawapo ya magazeti ya Jumatatu, Novemba 9, 2020, kwamba majina ya Wabunge wa Viti Maalum wa Chadema yameshatangazwa na kuwasilishwa bungeni, wakati Kamati Kuu ya Chama haijafanya uteuzi wala kuwasilisha majina hayo kwa NEC kama taratibu zinavyoelekeza.
Kupitia barua hiyo ya tarehe 09/11/2020, yenye Kumb. Na. C/HQADM/20/TU/05/140, kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. John Mnyika, kwenda kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, ikiwa na kichwa cha habari kisemacho, YAH; KAULI POTOFU YA NEC KUWA IMESHATANGAZA NA KUWASILISHA BUNGENI MAJINA 19 YA WABUNGE WA VITI MAALUM KUPITIA CHADEMA, Chadema imeitaka NEC kuheshimu na kuzingatia mamlaka ya uteuzi wa Wabunge na Madiwani wa Viti Maalum kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Ibara ya 7.7.16(q) na (z) yako kwa Kamati Kuu ya Chama ambayo hadi sasa haijafanya uteuzi wowote wa nafasi hizo wala kuwasilisha majina kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
“Kauli hii ni potofu kwa kuwa Chadema (kupitia Katibu Mkuu ambaye ndiye mwenye mamlaka ya kuwasilisha orodha ya majina ya wanaopendekezwa kuteuliwa kuwa wabunge), haijawasilisha orodha yoyote,” imesema sehemu ya barua hiyo ambayo pia nakala yake imepelekwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi.
Kupitia Gazeti la Nipashe, Toleo la Jumatatu, Novemba 9, 2020, ISSN 0856. Na. 0580394, katika habari iliyopewa uzito ukurasa wa kwanza, ikiwa na kichwa cha habari “NEC yatangaza viti maalum, Chadema yaambulia 19,” imeiandikwa kuwa NEC imeweka wazi idadi ya Wabunge wa Viti Maalum huku, Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Mahera akinukuliwa akitoa kauli ya upotoshaji kuwa waandishi wa habari wakiyataka majina hayo watayapata bungeni.
Imetolewa leo Jumatatu, Novemba 9, 2020 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
View attachment 1622925
Nakipongeza Sana , Sana Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kwa Msimamo huu !!!! MUNGU awabariki Sana Katika Jina la Yesu !!! Achaneni kabisa na Bunge hili . Wabaki wabunge wa chama kimoja tu !TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufafanua kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu kauli ya upotoshaji iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera kupitia mojawapo ya magazeti ya Jumatatu, Novemba 9, 2020, kwamba majina ya Wabunge wa Viti Maalum wa Chadema yameshatangazwa na kuwasilishwa bungeni, wakati Kamati Kuu ya Chama haijafanya uteuzi wala kuwasilisha majina hayo kwa NEC kama taratibu zinavyoelekeza.
Kupitia barua hiyo ya tarehe 09/11/2020, yenye Kumb. Na. C/HQADM/20/TU/05/140, kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. John Mnyika, kwenda kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, ikiwa na kichwa cha habari kisemacho, YAH; KAULI POTOFU YA NEC KUWA IMESHATANGAZA NA KUWASILISHA BUNGENI MAJINA 19 YA WABUNGE WA VITI MAALUM KUPITIA CHADEMA, Chadema imeitaka NEC kuheshimu na kuzingatia mamlaka ya uteuzi wa Wabunge na Madiwani wa Viti Maalum kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Ibara ya 7.7.16(q) na (z) yako kwa Kamati Kuu ya Chama ambayo hadi sasa haijafanya uteuzi wowote wa nafasi hizo wala kuwasilisha majina kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
“Kauli hii ni potofu kwa kuwa Chadema (kupitia Katibu Mkuu ambaye ndiye mwenye mamlaka ya kuwasilisha orodha ya majina ya wanaopendekezwa kuteuliwa kuwa wabunge), haijawasilisha orodha yoyote,” imesema sehemu ya barua hiyo ambayo pia nakala yake imepelekwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi.
Kupitia Gazeti la Nipashe, Toleo la Jumatatu, Novemba 9, 2020, ISSN 0856. Na. 0580394, katika habari iliyopewa uzito ukurasa wa kwanza, ikiwa na kichwa cha habari “NEC yatangaza viti maalum, Chadema yaambulia 19,” imeiandikwa kuwa NEC imeweka wazi idadi ya Wabunge wa Viti Maalum huku, Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Mahera akinukuliwa akitoa kauli ya upotoshaji kuwa waandishi wa habari wakiyataka majina hayo watayapata bungeni.
Imetolewa leo Jumatatu, Novemba 9, 2020 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
View attachment 1622925
Chadema mnavyohangaika, hiki chama sio cha mbowe lissu wala mnyika! Ni chama cha umma!TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA

Nyie ndio mnahangaika, mlitaka nchi mumepewa kuanzia diwani hadi raisi tatzo nini???Chadema mnavyohangaika, hiki chama sio cha mbowe lissu wala mnyika! Ni chama cha umma!
Ba
Bawacha akina Mdee na Bulaya wamepeleka sasa mashabiki mnachezeshwa kama mazezetu!! Hahahahahahaha.
Nipo hapa nawasaidia kulipaki kaa kwa kutulia...Unavochekelea utafikiri hilo spana la EU wewe litakukosa [emoji28][emoji28][emoji56]
Anasema msemaji wenu huyu hapa.Nilikwambia huna lolote ujualo zaidi ya kupiga Siasa mfu hapa jukwaani. Ulikuwa unasema cdm watapata viti maalum kwa sheria gani, saa hii unasema kuna majina yamepelekwa huko bungeni! Acha utoto dogo.
Huyo jamaa kichwa chake sio kizima. hiyo PhD itakuwa ni ya wizi. hana hata aibu. Hivi mambo ya kijinga kama haya hawawezi kumkatalia jiwe?mahaela siku zake zinahesabika, time wll tell
Sheria na katiba ya cdm anayepeleka majina ni katibu mkuu sa chama baada ya kikao cha uteuzi cha kamati kuu.Ba
Bawacha akina Mdee na Bulaya wamepeleka sasa mashabiki mnachezeshwa kama mazezetu!! Hahahahahahaha.
Dr Mahera atavuna anachopandaTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufafanua kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu kauli ya upotoshaji iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera kupitia mojawapo ya magazeti ya Jumatatu, Novemba 9, 2020, kwamba majina ya Wabunge wa Viti Maalum wa Chadema yameshatangazwa na kuwasilishwa bungeni, wakati Kamati Kuu ya Chama haijafanya uteuzi wala kuwasilisha majina hayo kwa NEC kama taratibu zinavyoelekeza.
Kupitia barua hiyo ya tarehe 09/11/2020, yenye Kumb. Na. C/HQADM/20/TU/05/140, kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama, Mhe. John Mnyika, kwenda kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, ikiwa na kichwa cha habari kisemacho, YAH; KAULI POTOFU YA NEC KUWA IMESHATANGAZA NA KUWASILISHA BUNGENI MAJINA 19 YA WABUNGE WA VITI MAALUM KUPITIA CHADEMA, Chadema imeitaka NEC kuheshimu na kuzingatia mamlaka ya uteuzi wa Wabunge na Madiwani wa Viti Maalum kwa mujibu wa Katiba ya Chadema Ibara ya 7.7.16(q) na (z) yako kwa Kamati Kuu ya Chama ambayo hadi sasa haijafanya uteuzi wowote wa nafasi hizo wala kuwasilisha majina kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
“Kauli hii ni potofu kwa kuwa Chadema (kupitia Katibu Mkuu ambaye ndiye mwenye mamlaka ya kuwasilisha orodha ya majina ya wanaopendekezwa kuteuliwa kuwa wabunge), haijawasilisha orodha yoyote,” imesema sehemu ya barua hiyo ambayo pia nakala yake imepelekwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi.
Kupitia Gazeti la Nipashe, Toleo la Jumatatu, Novemba 9, 2020, ISSN 0856. Na. 0580394, katika habari iliyopewa uzito ukurasa wa kwanza, ikiwa na kichwa cha habari “NEC yatangaza viti maalum, Chadema yaambulia 19,” imeiandikwa kuwa NEC imeweka wazi idadi ya Wabunge wa Viti Maalum huku, Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Mahera akinukuliwa akitoa kauli ya upotoshaji kuwa waandishi wa habari wakiyataka majina hayo watayapata bungeni.
Imetolewa leo Jumatatu, Novemba 9, 2020 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema
View attachment 1622925
Kuna mtu anaitwa Halima Mdee, labda naye aikimbie nchi...