Uchaguzi 2020 CHADEMA yaitaka Tume ya Uchaguzi NEC kutoa Ufafanuzi kuhusu Majina ya Wabunge wa Viti Maalum Wanaodaiwa wamepelekwa Bungeni

Safi sana chadema. Mahera jina lake liongezwe ICC. Huyu fala ni kama mchepuko wa mhutu. Hana akili na hajiongezi.
Majina gani yamepelekwa ICC? Au na wewe unacheza ngonjera za mary sarungi?
 
They play creche game during Election ...sasa inawa cost Dunia Kijiji hujengwa na wote...dadadeki kwa mbaaliii Li-Supana la EU hilooo...
Unavochekelea utafikiri hilo spana la EU wewe litakukosa [emoji28][emoji28][emoji56]
 
nashangaa kwa nini walazimishe kupata wabunge wacdm wapingaji wangekuwa wao tu ingekuwa vizuri sana ushindi wa 94% ni mzuri sana
 
Nakipongeza Sana , Sana Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kwa Msimamo huu !!!! MUNGU awabariki Sana Katika Jina la Yesu !!! Achaneni kabisa na Bunge hili . Wabaki wabunge wa chama kimoja tu !
 
Matusi kama haya moderator anayavumilia eti tu kwa kuwa yameandikwa na mtu wa CHADEMA!!! !!!!
 
Chadema mnavyohangaika, hiki chama sio cha mbowe lissu wala mnyika! Ni chama cha umma!
 
Ba

Bawacha akina Mdee na Bulaya wamepeleka sasa mashabiki mnachezeshwa kama mazezetu!! Hahahahahahaha.

Nilikwambia huna lolote ujualo zaidi ya kupiga Siasa mfu hapa jukwaani. Ulikuwa unasema cdm watapata viti maalum kwa sheria gani, saa hii unasema kuna majina yamepelekwa huko bungeni! Acha utoto dogo.
 
Mpaka aibu yaani walisema wanaua upinzani,na hawataki wakanyage bungeni wanazuia maendeleo, lakini Leo hii wameanza tena kuwafuata fuata CDM,kwa nini wasiwafuate chauma na udp?
 
Nilikwambia huna lolote ujualo zaidi ya kupiga Siasa mfu hapa jukwaani. Ulikuwa unasema cdm watapata viti maalum kwa sheria gani, saa hii unasema kuna majina yamepelekwa huko bungeni! Acha utoto dogo.
Anasema msemaji wenu huyu hapa.
 
mahaela siku zake zinahesabika, time wll tell
Huyo jamaa kichwa chake sio kizima. hiyo PhD itakuwa ni ya wizi. hana hata aibu. Hivi mambo ya kijinga kama haya hawawezi kumkatalia jiwe?
 
Ba

Bawacha akina Mdee na Bulaya wamepeleka sasa mashabiki mnachezeshwa kama mazezetu!! Hahahahahahaha.
Sheria na katiba ya cdm anayepeleka majina ni katibu mkuu sa chama baada ya kikao cha uteuzi cha kamati kuu.
 
Dr Mahera atavuna anachopanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…