Uchaguzi 2020 CHADEMA yaitaka Tume ya Uchaguzi NEC kutoa Ufafanuzi kuhusu Majina ya Wabunge wa Viti Maalum Wanaodaiwa wamepelekwa Bungeni

Bawacha wamepeleka tayari akina Mdee na Bulaya. Nyinyi mlie tu! Mnachezeshwa kama mazezeta!
Kwa hiyo unataka kusema ukali wa NEC kuwa hawawezi kupokea majina bila utaratibu wa chama sasa hivi hakuna? Kwamba sasa NEC hawana shida Bawacha wasipofuata utaratibu wa kikatiba wa chama chao sio? Sijakuelewa.
 
Akili za mwizi huwa hazifanyi kazi vizuri wakati anaiba. Akishamaliza kuiba, kafikisha mzigo nyumbani, ndio akili inarudi katika hali ya kawaida. Amejikuta ameiba ng'ombe na kengle yake... Too late.
Sasa wanalazimisha wabunge ambao iliwakataa! Kuna jambo wameligundua.
 
Sasa wanalazimisha wabunge ambao iliwakataa! Kuna jambo wameligundua.
Lengo ni kupata pesa za ruzuku kwa ajili ya vyama vingi toka nje. Krb tilioni 2 watazipataje bila uwepo wa upinzani.
Bunge la ccm lisiwe live ni kuwatusi watz
 
Sasa wanalazimisha wabunge ambao iliwakataa! Kuna jambo wameligundua.
Lengo ni kupata pesa za ruzuku kwa ajili ya vyama vingi toka nje. Krb tilioni 2 watazipataje bila uwepo wa upinzani.
Bunge la ccm lisiwe live ni kuwatusi watz
 
Na nyie wananchi muwe akili walau mara moja sio mnapelekwa pelekwa tu. Haingii akilini mtu kakosa ajira ya ubunge anakwambia uandamane wakati akiwa bungeni ndio wa kwanza kushauri wananchi msitegemee ajira mjiajiri. Hakuna tofauti katika uongozi wa kisiasa labda ingekuwa tunawategemea kutengeneza satelaiti tungesema fulani hajakidhi. We ndugu yako mwaka wa 5 hana ajira unaenda kuandamana eti Zito kakosa ubunge, yaani kwa kifupi unaoigania ajira ya mtu ambae hata mia yake hutaiona. Pengine maskini hata hajui kama upo duniani.
 
Hawara in mamako au dadako??povu jingi
 
Aisee achaa Nile
Ujaonaa Neno fala hukoo JUU umekaa KIMYA unambiwa mumewenu unatapikaaaa harishakabsaa
Hiki ndio kinafirahisha moyo wako?
Kuna vyama vina mizigo sio wanachama ni mizigo tu.
Mimi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila kwa mawazo haya wewe ni takataka kwa chama unachokishabikia.
 
Kwann polisi nao wasipewe viti maalumu maana wameisaidia Sana ccm ushindi.
Tumeona walivyopiga kampeni za kutosha Hadi wamewaambia wapinzani we ushindi. Thamani yao isiwe wakati wa uchaguzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…