Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ufipa ni vigeugeu sana!Halafu hawa wanasiasa wasichekewe.Ni kama kinyonga.
Wakati wa Magufuli anasema Corona haipo Tanzania,wao walikuwa mstari wa mbele kusema ipo na nchi iwekwe 'lockdown'.
Sasa hivi Rais anasema Corona ipo.Wao wanataka mikusanyiko iruhusiwe.
Why!??
Chadema inachukua tahadhali zote zinazoelekezwa na WHOHalafu hawa wanasiasa wasichekewe.Ni kama kinyonga.
Wakati wa Magufuli anasema Corona haipo Tanzania,wao walikuwa mstari wa mbele kusema ipo na nchi iwekwe 'lockdown'.
Sasa hivi Rais anasema Corona ipo.Wao wanataka mikusanyiko iruhusiwe.
Why!??
ingekuwa ni hivyo mama chokochoko angejigeuza Vasco Da Gama ? maana naye haishi kiguu na njia !Ufipa ni vigeugeu sana!
Acha uongo mkuu..Chadema inachukua tahadhali zote zinazoelekezwa na WHO
Shangazi Kesha wageuka huko, kawaanbia hawana adabu wanadharau mama mbona wakati wa Magu hawakuthubutu.Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa chama hicho Mh John Mnyika , alitangaza rasmi kwamba tarehe 5/8/2021 kuwa siku ya Watanzania wote wapenda haki kupinga mashitaka ya uongo dhidi ya Freeman Mbowe , ikumbukwe kwamba hii ndiyo siku iliyopangwa kutajwa tena kesi hiyo ya ugaidi wa uongo na wa kupikwa dhidi ya Mbowe .
Bali Mnyika hakufafanua kwamba ni kitu gani wanachama wa Chadema wanatakiwa kukifanya katika siku hiyo TEULE , ambayo huenda HISTORIA MPYA ya Tanzania ikaandikwa .
View attachment 1876521
Halafu Nyani Ngabu haka katoto ninakaribia miaka 13 nakafahamu, hakakui TU? Au NI ka raia ka Neverland?Maneno tu, 💯 %!
Vitendo, 0%.
Kwani GiLe ana miaka mingapi sasa?Halafu Nyani Ngabu haka katoto ninakaribia miaka 13 nakafahamu, hakakui TU? Au NI ka raia ka Neverland?
View attachment 1876534
Watu wasije kwenye msiba kuepuka msongamano, halafu anahudhuria kongamano. Hilo konvamano ni la vyura?Halafu hawa wanasiasa wasichekewe.Ni kama kinyonga.
Wakati wa Magufuli anasema Corona haipo Tanzania,wao walikuwa mstari wa mbele kusema ipo na nchi iwekwe 'lockdown'.
Sasa hivi Rais anasema Corona ipo.Wao wanataka mikusanyiko iruhusiwe.
Why!??
Si kazaliwa Jana TU?Kwani GiLe ana miaka mingapi sasa?
Alaa kumbe!Si kazaliwa Jana TU?
Tunapopambania haki hatuangalii nani anasema niniShangazi Kesha wageuka huko, kawaanbia hawana adabu wanadharau mama mbona wakati wa Magu hawakuthubutu.
[emoji23][emoji23]Maneno tu, [emoji817] %!
Vitendo, 0%.
Halafu Nyani Ngabu haka katoto ninakaribia miaka 13 nakafahamu, hakakui TU? Au NI ka raia ka Neverland?
View attachment 1876534
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani GiLe ana miaka mingapi sasa?
Chanjo si ndio mmeanza juzi ?Acha uongo mkuu..
Zipi??
Wamechanjwa??
Hatua zinazotakiwa na WHO si pamoja 'social distancing'??
[emoji23][emoji23][emoji23]Tunapopambania haki hatuangalii nani anasema nini