Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
KabisaWamemuingiza Kingi Yule jamaa aliyebeba bango, wenyewe wameandamana huku kwenye keyboard.
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Na saa hii wako Twitter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaWamemuingiza Kingi Yule jamaa aliyebeba bango, wenyewe wameandamana huku kwenye keyboard.
Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
Halafu hawa wanasiasa wasichekewe.Ni kama kinyonga.
Wakati wa Magufuli anasema Corona haipo Tanzania,wao walikuwa mstari wa mbele kusema ipo na nchi iwekwe 'lockdown'.
Sasa hivi Rais anasema Corona ipo.Wao wanataka mikusanyiko iruhusiwe.
Why!??
Kwani mimi ndiyo nakimbiza mwenge mkuu??Hivi mbio za mwenge zimesimama au ni mashindano ya kuandika utopolo?
Ulipoulizwa wewe wapi? Mbona kujitafutia umaarufu usiokuwa nao?Kwani mimi ndiyo nakimbiza mwenge mkuu??
Au akili iko likizo?
Uliyemnukuu hapo juu ni mumeo au??😂😂Ulipoulizwa wewe wapi? Mbona kujitafutia umaarufu usiokuwa nao?
Nani akuulize nini mburula wewe?
Wapi unaposoma kunukuliwa mburumundu wa kijani wewe. Akunukuu nani wewe? Una nini?Uliyemnukuu hapo juu ni mumeo au??😂😂
Aisee 😂😂😂Wapi unaposoma kunukuliwa mburumundu wa kijani wewe. Akunukuu nani wewe? Una nini?
Nyambafu!
Wewe nae bongo lala kwelikweli!Halafu hawa wanasiasa wasichekewe.Ni kama kinyonga.
Wakati wa Magufuli anasema Corona haipo Tanzania,wao walikuwa mstari wa mbele kusema ipo na nchi iwekwe 'lockdown'.
Sasa hivi Rais anasema Corona ipo.Wao wanataka mikusanyiko iruhusiwe.
Why!??